Taarifa ya Israeli Defense Force (IDF) kwa Umma.

Taarifa ya Israeli Defense Force (IDF) kwa Umma.

Mnajifariji tu kwa kubana marinda nyie kobazi ili kiukweli inawauma tena viongozi wa hezbolah wawili wameuawa wakiwa kwenye mkutano wakuishambulia israel na viongozi wandamizi 16 wa hezbollah hapo israel amefanya kitu kina Premilitary strikes
IQ yako ni kiduchu sana kuelewa nilichomaanisha.
 
Yani ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Hao watu anakufa huyu anawekwa mwingine.
Hamas si wameuliwa viongozi wao zaidi ya wanne??
Je mapigano ya Hamas yamesitishwa?
Je Hamas wamejisalimisha?
Umesema vyema

Anatoka mtu anaingia mtu
 
Hawa watu sio wa mchezo asee...
kesho utaska hezbolah kashambulia israel sasa sijui hizo roketi zinajirusha zenyewe...IDF wajipange haswa na waombe US asichoke kuwasaidia la sivyo israel itatwaliwa na sisi makobazi
 
Back
Top Bottom