Mnajifariji tu kwa kubana marinda nyie kobazi ili kiukweli inawauma tena viongozi wa hezbolah wawili wameuawa wakiwa kwenye mkutano wakuishambulia israel na viongozi wandamizi 16 wa hezbollah hapo israel amefanya kitu kina Premilitary strikes
Yani ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Hao watu anakufa huyu anawekwa mwingine.
Hamas si wameuliwa viongozi wao zaidi ya wanne??
Je mapigano ya Hamas yamesitishwa?
Je Hamas wamejisalimisha?
kesho utaska hezbolah kashambulia israel sasa sijui hizo roketi zinajirusha zenyewe...IDF wajipange haswa na waombe US asichoke kuwasaidia la sivyo israel itatwaliwa na sisi makobazi