Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Status
Not open for further replies.

hoyce

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
1,117
Reaction score
298
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA

KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO

Simu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,

Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,
Telex : 41051 DAR ES SALAAM,
12 Septemba, 2013.

Tele Fax : 2153426

Barua pepe : ulinzimagazine@yahoo.co.uk

Tovuti : www.tpdf.mil.tz

Taarifa kwa vyombo vya Habari

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) limepata habari kupitia mtandao wa Jamii Forum na Gumzo la Jiji na mingineyo kuwa likizo zimesitishwa Jeshini na waliokuwa likizo wameitwa kurudi kazini.

Taarifa hizo pia zimeeleza kwamba Brigedi za Tembo na Kifaru zimepewa maagizo ya kuwa katika hali ya utayari endapo watahitajika kusonga mbele.

JWTZ linapenda kuwaeleza wananchi pamoja na watumiaji wa mitandao hiyo kuwa taarifa hizo ni za upotoshaji mtupu na hazina ukweli wowote. Aidha, taarifa hizo ni zenye nia ya kuzorotesha uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi yetu (Tanzania) na majirani zake.

Sambamba na taarifa hii, pia Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linapenda kutoa taarifa za kutohusika na viunganishi vya JWTZ kwenye mitandao ya ‘Facebook‘ – (Facebook/JWTZ) na ‘Twitter‘ (Twitter/ JWTZ).

Mitandao hiyo yenye viunganishi vya JWTZ imekuwa ikijihusisha na kutoa taarifa ambazo zimekuwa zikichangiwa na watu mbalimbali, ambapo baadhi yao wamekuwa wakitoa taarifa za upotoshaji na zisizo sahihi. Tunapenda kutaarifu kwamba akaunti za facebook na twitter zilizotajwa siyo za JWTZ.

Hatua zimechukuliwa za kuwatambua wahusika na kuwachukulia hatua za kisheria.

Aidha inasisitizwa kwamba JWTZ lina taratibu za zake zinazotumika kufanya mawasiliano na Vyombo vya Habari, Taasisi, au mtu binafsi kuhusu utoaji wa taarifa.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya habari na Uhusiano

Makao Makuu ya Jeshi

Dar es salaam, Tanzania
 
View attachment JWTZ.docx
Ifuatayo ni Taarifa toka Makao makuu ya Jeshi Tanzania ikinukuu taarifa zilizosambazwa humu JF

JWTZ wanafikiri ni zile enzi za ujima wa kuficha habari sasa hivi wanapigwa vitasa vya uso tu bila ya kujali minguo yao wezi wakubwa
 
Ndo ubaya wa teknolojia, ukinong'ona tu watu wanaiweka mtandaoni...
 
Hata sijui wanachokanusha hapa, hawajui kwamba baadhi ya askari walioitwa toka likizoni kurudi makambini ni ndugu zetu? Au wanadhani mtu akishakuwa askari anakuwa hana ndugu, jamaa na marafiki walio uraiani!
 
JF bwana hao wanajeshi ndio members wanatoa taharifa humu sasa sijui hawa makamanda wanapingana na ukweli au lah?
 
Asante kwa taarifa ila wanachanganya hawa Jwtz kweli. Kule twiter wameweka acount na wamehojiwa maswali na kurespond utadhani anayejibu ni saidi Mwema halafu wanaikana account yao?
 
Kwa upande wangu nitalizingatia ilo sana kwenye thread zangu,,,,wanapiga hawa
 
Attachments

  • images 1.jpg
    images 1.jpg
    9.1 KB · Views: 140
  • images.jpg
    images.jpg
    13.7 KB · Views: 683
JWTZ wanafikiri ni zile enzi za ujima wa kuficha habari sasa hivi wanapigwa vitasa vya uso tu bila ya kujali minguo yao wezi wakubwa

slowdown mpenzi najua jinsi gani hao jamaa wanahujumiwa na Magamba ya maccm! Just wait!
 
lakini hii taarifa imechelewa sana.
 
hawa jeshi ni vyema wakaendelea kukaa kimya lakini wakiwa wanaamka na matamko heshima yao itashuka
 
JWTZ wanafikiri ni zile enzi za ujima wa kuficha habari sasa hivi wanapigwa vitasa vya uso tu bila ya kujali minguo yao wezi wakubwa

Ndugu yangu, tatizo la wakubwa wa jeiwii ni magamba mno, ukweli ndo huo watu hawaendi likizo kisa Kagame, Afu nasikia enzi zile za Dafur watu walikuwa wanachaguana tu watoto wa wakubwa kwenda, imekuja swala la Kagame ni la kila mtu.

Afu nasikia huyo msemaji wa jeshi hajuwi hata kiswahili badala ya sasa anatamka thatha.
tatizo lingine la jeiwii hawajuwi JF inaundwa na wajeda wa kutosha tu.
Jamaa angu nasikia kapewa woningi oda sijuwi kisa ana account ya face book.
na siku wakiwajuwa walioko humu JF nafikiri watawatia lupango ya kijeda kabisaaaaaa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom