Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Status
Not open for further replies.



Wewe kupatikana sio kazi wakitaka. Aliyetengeneza jf ni binadamu ka wewe lakini najua hawatafanya hivyo hata wao wanapata habari humu lakini tuwe makini tunachoandika kinaweza kuleta madhara makubwa sana bila cc kutarajia.

Inamaana mods wanaweza kutusaliti kwa kuwapa jwtz id zetu pamoja na clue ili watusake?

Search kuna kitu kinaitwa Ip address.

Ndiyo nikasema neno "clue" kwa maana kua mod ndo watatoa hizo ip address zetu ili tusakwe? Ama hizo ip address kila mtu anaweza kuzipata kwa kadri anavyotaka? Nipe elimu kidogo namna ya kupata ip address ya mtu from any social network kama jf.

Hiyo ni Id ya device unayotumia inaweza hata kutoa location yako ulipo na kila device ina Id yake. Jf hawatawapa wanaweza kutumia vijana wa IT.

wakishirikiana na TISS watawadaka fasta tu mnadhani TISS walivyo dhaifu kushughulikia drug loads ndivyo itavyokua kwenu?

Kaka, hasombwi mtu.

Hivi, hakuna wajeda humu JF, what if ni wao ndio wanapost hizo post humu?



Kuzipata IP address zetu lazima wende kwenye data base ya JF na most of people wanatumia internet cafe sasa watamshika nani?
Wataweza kutukamata kwa njia hizi:
1. Kama unatumia modem maana yake unatumia line ya simu,na ukishaconect kwenye mtandao utatumia ip adress kufanya mawasiliano kutoka kwenye line yako kwenda kwenye server za JF nk
2. Line yako ya simu imesajiliwa na kampuni fulani ya simu kwa jina lako
3. Nani ana uhakika kuwa JF Admin (baadhi) hawawezi kutoa ip zetu na kuwapa JW halafu JW wakaenda kwenye kampuni za simu na ku match na line zetu?maana huwezi jua,hawa nao ni binadamu wanaweza kurubuniwa kwa zawadi au pesa na wakatuhujumu vile vile,
4. Kama una post maoni yako ukiwa kwenye internet cafe za mtaani ndio labda unaweza kusalimika,maana ni vigumu kumjua nini kinatumwa na mtumiaji wa computer kwenye cafe yako.
5. Sijajua sheria za Cyber zinasemaje lakini mpaka uje uchomoke kama watakutafuta na kukupata,na watu wenyewe JW utakuwa umeshaumia zamani sana,
Kikubwa mitandao hii sio salama sana,kila mtu aitumie vizuri kwa faida ya nchi yetu
Mungu ibariki Tanzania.
 

Mkuu, sasa ndo umenifumbua macho, yaani nilikua sijui kitu kuhusu muunganiko kati ya line zetu, IP address, jf server plus database system za makampuni ya simu. Kwa maelezo haya sasa ni wazi kua hakuna aliye salama ktk mitandao hii ya kijamii endapo "wakora" wataamua kufuatilia mtu mmoja baada ya mwingine.

Cha kuzingatia ni ushauri wako ulioutoa hapo mwishoni. Aisee mkuu, asante sana kwa kunipa elimu adhimu kuhusu mitandao.
 
Hiyo ni Id ya device unayotumia inaweza hata kutoa location yako ulipo na kila device ina Id yake. Jf hawatawapa wanaweza kutumia vijana wa IT.
Sina uhakika kama tuna vijana wa IT wanaoweza kwa sasa. Kama tunashindwa kuwagundua wanaosambaza matusi na vitisho kwenye simu au kama issue ya Ulimboka vimeshindikana, nafikiri tuna njia ndefu hadi kufikia huko!
 
Hakuna uhuru usio na mipaka,ni kujiheshimu tu ndio salama yako!!!!
Unapokuwa mtu mzima tunategemea uweze kusimamia maamuzi yako utapohitajika kufanya hivyo!!!!
Kuna mtu hapo anaongelea cafe de net hivi hizi simu modern kuna mtu anahangaika na cafee???!!!Siku hizi na bundles hizi???!!

Pamoja na ID anonymity cha muhimu ni ustaarabu tu na kujua mipaka yako!!!!

Heading ya thread kama hii pia ni ya kijinga sana na mods wapo wanaona,mimi huwa kuna muda najiuliza uwezo wa mods kuamua na kuchanganua mambo as well!!!
 
Cha umuhimu ni kuwa makini,usifikiri uko salama halafu ukajiachia kiasi hicho,Internet iliruhusiwa baada ya wagunduzi kuwa na uhakika wa usalama hasa katika kuwatafuta wahalifu ambao watatumia hii mitandao kwa njia mbaya,changamoto iliyopo hapa Tz ni sheria tu (CYBER LAW) lakini si unajua ki bongo bongo ukijulikana ni balaa,unafikiri JW wakikujua mpaka wakupeleke mahakamani utakuwa kwenye hali gani wewe?
 
Sina uhakika kama tuna vijana wa IT wanaoweza kwa sasa. Kama tunashindwa kuwagundua wanaosambaza matusi na vitisho kwenye simu au kama issue ya Ulimboka vimeshindikana, nafikiri tuna njia ndefu hadi kufikia huko!
Sometimes Aliekudanganya hakuna wataalamu wa IT wanaoweza kufanya hivyo ni nani?tatizo ni nani kafanya hiyo ishu,na kaifanya kwa sababu gani,tena ogopa sana hizi ishu za SIHASA ni balaa tupu,utatolewa UONO usiweze tena kutuma vi POST vyako hapa JF,hii bongo ione hivi hivi,wewe kanyaga channel za watu uone moto unavyowaka.
 
Last edited by a moderator:

Hebu nipe ip address nikuoneshe kitu kama huijui andika www.myipaddress.com itakuja hapo kwenye screen yako sawa
 

Usiwatishe wezako unajua kama kuna software yakubadilisha ip addrees?shule yako ya kata ndio tatizo lako
 
Last edited by a moderator:
Usiwatishe wezako unajua kama kuna software yakubadilisha ip addrees?shule yako ya kata ndio tatizo lako
kwani kusoma shule ya kata ni dhambi?wewe wadanganye wenzako,wangapi wanaopost taarifa muda huu wana uelewa huo ambao wewe unataka kuwalazimisha waamini?wewe mwenyewe hapo sasa hivi unatuimia hiyo software? tahadhari ni muhimu kwa kila kitu,uiswadanganye wenzako.
 

Tatizo unafuga mbwa msosi no, afu unajirani yako swaaafi JF atabwakea kwa jirani tu!

Waache wabweke bwana tujuwe ukali wao!
 
wanadhihirisha udhaifu wao.
Wao wanatakiwa watumie kitengo cha propaganda kujibu hoja kama hizo.
Wangekuwa wamejipanga vzr uzi ambao una madhara kwa taifa au unahatarisha amani wangekuwa na uwezo wa kuufuta.
 
Ila wabongo tumedata... Sasa a/c fb au twtr ya JW ya nini? Mbn vya ku-update utakosa? dah

Si kuna mwingine alishawahi kujitwisha zigo la Tanesco Tanzania kupitia twitter, na kizuri zaidi akawa na followers wengi kushinda akaunti halisi. Sasa majibu kwa wateja wake, utachoka.
 
Si kuna mwingine alishawahi kujitwisha zigo la Tanesco Tanzania kupitia twitter, na kizuri zaidi akawa na followers wengi kushinda akaunti halisi. Sasa majibu kwa wateja wake, utachoka.
Halafu sijui vitengo vyao vya intelijensia havitembelei JF?maana walitakiwa mapema sana wawe wameshahakikisha nyuzi kama sio nzuri kwao wanazifuta,ni suala la kuwaisliana na JF tu,au labda wakati ule ilionekana inafaa hasa kuwatishia wakina PK sasa balaa linakuja PK ameshapatana JK wahanga wanakuwa washabiki wa vita.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…