MissM4C
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,740
- 1,005
Yale ya Mtwara tu hawakukiri ndo leo wakiri haya? Itakua miujiza
Teh teh teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale ya Mtwara tu hawakukiri ndo leo wakiri haya? Itakua miujiza
Inamaana mods wanaweza kutusaliti kwa kuwapa jwtz id zetu pamoja na clue ili watusake?
Wadau nawasalimu woote,,
Leo asbh kupitia vpindi vya MAGAZETI redioni zimeskika habari kuwa Jeshi la Wanachi Tz limetangaza mgogoro usiokoma kati yake na mitandao ya kijamii ikiwemo JF kwa kile kibachodaiwa kuwa Wamepakaza habari za uwongo kuwa Likizo zoote kwa Wanajeshi zimefutwa na wanajesh walokuwa likizo kurejeshwa makazini mara moja kufuatia hali ya hatari iliyokuwa imetanda nchini, JWTZ imedai kuwa habari hizo ni za kipotoshaji na uongo mkubwa na serikali haitasita kuwachukulia hayua wahusila.
Anaejua undani wa hili afunguke hapa
sasa hao jwtz watawezaje kuwapata wahusika??
ni kweli habari ii iliwah kuletwa hapa na watu wakachangia lkn kama ni uongo si wakanushe tuu kwani ni mpaka waanze kuvutana mashati na mleta mada/mchangiaji??
naona sasa jwtz wanakosa mwelekeo manake kwao habari kuandikwa ndio ishu, ila kusema ukweli juu ya hali halisi, na pia kutupa mwelekeo hawataki.
Watawachukulia hatua jf? Nijuavyo mimi jf=Watanzania, hii ina maana kua habari zinazopatikana jf huandikwa na wanachama wa jf ambao wengi wao ni Watanzania. Sidhani kama wasimamizi wa jf huwatuma watu kuandika habari yeyote, wao kazi yao ni kuchuja habari kama ni za ukweli ama za uzushi na kuzifuta.
Kwa mtazamo huu jwtz wanataka kupambana na Watanzania, sawa tusubiri ila wakati wanafanya hivyo wasisahau kusoma "disclaimer" ya jf waone inasemaje ndipo waje na mikakati yao.
Wewe kupatikana sio kazi wakitaka. Aliyetengeneza jf ni binadamu ka wewe lakini najua hawatafanya hivyo hata wao wanapata habari humu lakini tuwe makini tunachoandika kinaweza kuleta madhara makubwa sana bila cc kutarajia.
Inamaana mods wanaweza kutusaliti kwa kuwapa jwtz id zetu pamoja na clue ili watusake?
Search kuna kitu kinaitwa Ip address.
Ndiyo nikasema neno "clue" kwa maana kua mod ndo watatoa hizo ip address zetu ili tusakwe? Ama hizo ip address kila mtu anaweza kuzipata kwa kadri anavyotaka? Nipe elimu kidogo namna ya kupata ip address ya mtu from any social network kama jf.
Hiyo ni Id ya device unayotumia inaweza hata kutoa location yako ulipo na kila device ina Id yake. Jf hawatawapa wanaweza kutumia vijana wa IT.
wakishirikiana na TISS watawadaka fasta tu mnadhani TISS walivyo dhaifu kushughulikia drug loads ndivyo itavyokua kwenu?
Kaka, hasombwi mtu.
Hivi, hakuna wajeda humu JF, what if ni wao ndio wanapost hizo post humu?
Bado kabisa huwezi kum track mtu kwa kutumia IP address hapo tanzania due to our local address wewe unakaa tandale hata gprs haisomi hiyo location ataona wapi hebu www.myipaddress.com nitumie ip addrees yako nijaribu ku track nikwambie ulipo na wewe mwenyewe utatoa jibu sawa
Mimi nilisema, JAMANI HAYA MAMBO TUNAYOZUNGUMZIA SIYO YA NDANI SANA AMBAYO HAYATAKIWI KUWA PUBLIC? Majibu niliyopata ikabidi ninyamaze tu, na waliokuwa wakifunguka ni watu prominent sana hapa JF na kwenye media zingine! Tena walijitetea kabisa kuwa data za ndani hawajazitoa (kwa maana hiyo wana data za ndani pia!!!). Naona kuna tatizo kubwa sana kwa majeshi yetu yote, kuanzia ulinzi mpaka usalama! Itakuwaje watoe siri za Jeshi kwa wanahabari, ILI IWEJE? Maadili yameporomoka tu sana, leo hii adui anaweza kupeleleza chochote hata bila kuja Tanzania, anaingia JF tu na kuanza kuwachokonoa watu wanafunguka! Kua uzi mmoja uliwahi kuwapo humu nadhani ni 2008 au 2010, Ulikuwa unatoa habari za ndani sana za JW, mpaka siraha zilizopo kwenye vikosi mbalimbali na nyingine zisizotakiwa kujulikana, nadhani uzi huo baadaye modes waliona wakaufunga! Tuchunge midomo yetu jamani tunajiuwa wenyewe!!
Wataweza kutukamata kwa njia hizi:Kuzipata IP address zetu lazima wende kwenye data base ya JF na most of people wanatumia internet cafe sasa watamshika nani?
Search kuna kitu kinaitwa Ip address.
Wataweza kutukamata kwa njia hizi:
1. Kama unatumia modem maana yake unatumia line ya simu,na ukishaconect kwenye mtandao utatumia ip adress kufanya mawasiliano kutoka kwenye line yako kwenda kwenye server za JF nk
2. Line yako ya simu imesajiliwa na kampuni fulani ya simu kwa jina lako
3. Nani ana uhakika kuwa JF Admin (baadhi) hawawezi kutoa ip zetu na kuwapa JW halafu JW wakaenda kwenye kampuni za simu na ku match na line zetu?maana huwezi jua,hawa nao ni binadamu wanaweza kurubuniwa kwa zawadi au pesa na wakatuhujumu vile vile,
4. Kama una post maoni yako ukiwa kwenye internet cafe za mtaani ndio labda unaweza kusalimika,maana ni vigumu kumjua nini kinatumwa na mtumiaji wa computer kwenye cafe yako.
5. Sijajua sheria za Cyber zinasemaje lakini mpaka uje uchomoke kama watakutafuta na kukupata,na watu wenyewe JW utakuwa umeshaumia zamani sana,
Kikubwa mitandao hii sio salama sana,kila mtu aitumie vizuri kwa faida ya nchi yetu
Mungu ibariki Tanzania.
Sina uhakika kama tuna vijana wa IT wanaoweza kwa sasa. Kama tunashindwa kuwagundua wanaosambaza matusi na vitisho kwenye simu au kama issue ya Ulimboka vimeshindikana, nafikiri tuna njia ndefu hadi kufikia huko!Hiyo ni Id ya device unayotumia inaweza hata kutoa location yako ulipo na kila device ina Id yake. Jf hawatawapa wanaweza kutumia vijana wa IT.
Cha umuhimu ni kuwa makini,usifikiri uko salama halafu ukajiachia kiasi hicho,Internet iliruhusiwa baada ya wagunduzi kuwa na uhakika wa usalama hasa katika kuwatafuta wahalifu ambao watatumia hii mitandao kwa njia mbaya,changamoto iliyopo hapa Tz ni sheria tu (CYBER LAW) lakini si unajua ki bongo bongo ukijulikana ni balaa,unafikiri JW wakikujua mpaka wakupeleke mahakamani utakuwa kwenye hali gani wewe?Mkuu, sasa ndo umenifumbua macho, yaani nilikua sijui kitu kuhusu muunganiko kati ya line zetu, IP address, jf server plus database system za makampuni ya simu. Kwa maelezo haya sasa ni wazi kua hakuna aliye salama ktk mitandao hii ya kijamii endapo "wakora" wataamua kufuatilia mtu mmoja baada ya mwingine.
Cha kuzingatia ni ushauri wako ulioutoa hapo mwishoni. Aisee mkuu, asante sana kwa kunipa elimu adhimu kuhusu mitandao.
Sometimes Aliekudanganya hakuna wataalamu wa IT wanaoweza kufanya hivyo ni nani?tatizo ni nani kafanya hiyo ishu,na kaifanya kwa sababu gani,tena ogopa sana hizi ishu za SIHASA ni balaa tupu,utatolewa UONO usiweze tena kutuma vi POST vyako hapa JF,hii bongo ione hivi hivi,wewe kanyaga channel za watu uone moto unavyowaka.Sina uhakika kama tuna vijana wa IT wanaoweza kwa sasa. Kama tunashindwa kuwagundua wanaosambaza matusi na vitisho kwenye simu au kama issue ya Ulimboka vimeshindikana, nafikiri tuna njia ndefu hadi kufikia huko!
Wataweza kutukamata kwa njia hizi:
1. Kama unatumia modem maana yake unatumia line ya simu,na ukishaconect kwenye mtandao utatumia ip adress kufanya mawasiliano kutoka kwenye line yako kwenda kwenye server za JF nk
2. Line yako ya simu imesajiliwa na kampuni fulani ya simu kwa jina lako
3. Nani ana uhakika kuwa JF Admin (baadhi) hawawezi kutoa ip zetu na kuwapa JW halafu JW wakaenda kwenye kampuni za simu na ku match na line zetu?maana huwezi jua,hawa nao ni binadamu wanaweza kurubuniwa kwa zawadi au pesa na wakatuhujumu vile vile,
4. Kama una post maoni yako ukiwa kwenye internet cafe za mtaani ndio labda unaweza kusalimika,maana ni vigumu kumjua nini kinatumwa na mtumiaji wa computer kwenye cafe yako.
5. Sijajua sheria za Cyber zinasemaje lakini mpaka uje uchomoke kama watakutafuta na kukupata,na watu wenyewe JW utakuwa umeshaumia zamani sana,
Kikubwa mitandao hii sio salama sana,kila mtu aitumie vizuri kwa faida ya nchi yetu
Mungu ibariki Tanzania.
Sometimes Aliekudanganya hakuna wataalamu wa IT wanaoweza kufanya hivyo ni nani?tatizo ni nani kafanya hiyo ishu,na kaifanya kwa sababu gani,tena ogopa sana hizi ishu za SIHASA ni balaa tupu,utatolewa UONO usiweze tena kutuma vi POST vyako hapa JF,hii bongo ione hivi hivi,wewe kanyaga channel za watu uone moto unavyowaka.
kwani kusoma shule ya kata ni dhambi?wewe wadanganye wenzako,wangapi wanaopost taarifa muda huu wana uelewa huo ambao wewe unataka kuwalazimisha waamini?wewe mwenyewe hapo sasa hivi unatuimia hiyo software? tahadhari ni muhimu kwa kila kitu,uiswadanganye wenzako.Usiwatishe wezako unajua kama kuna software yakubadilisha ip addrees?shule yako ya kata ndio tatizo lako
Hivi, hakuna wajeda humu JF, what if ni wao ndio wanapost hizo post humu?
Mimi nilisema, JAMANI HAYA MAMBO TUNAYOZUNGUMZIA SIYO YA NDANI SANA AMBAYO HAYATAKIWI KUWA PUBLIC? Majibu niliyopata ikabidi ninyamaze tu, na waliokuwa wakifunguka ni watu prominent sana hapa JF na kwenye media zingine! Tena walijitetea kabisa kuwa data za ndani hawajazitoa (kwa maana hiyo wana data za ndani pia!!!). Naona kuna tatizo kubwa sana kwa majeshi yetu yote, kuanzia ulinzi mpaka usalama! Itakuwaje watoe siri za Jeshi kwa wanahabari, ILI IWEJE? Maadili yameporomoka tu sana, leo hii adui anaweza kupeleleza chochote hata bila kuja Tanzania, anaingia JF tu na kuanza kuwachokonoa watu wanafunguka! Kua uzi mmoja uliwahi kuwapo humu nadhani ni 2008 au 2010, Ulikuwa unatoa habari za ndani sana za JW, mpaka siraha zilizopo kwenye vikosi mbalimbali na nyingine zisizotakiwa kujulikana, nadhani uzi huo baadaye modes waliona wakaufunga! Tuchunge midomo yetu jamani tunajiuwa wenyewe!!
Ila wabongo tumedata... Sasa a/c fb au twtr ya JW ya nini? Mbn vya ku-update utakosa? dah
Halafu sijui vitengo vyao vya intelijensia havitembelei JF?maana walitakiwa mapema sana wawe wameshahakikisha nyuzi kama sio nzuri kwao wanazifuta,ni suala la kuwaisliana na JF tu,au labda wakati ule ilionekana inafaa hasa kuwatishia wakina PK sasa balaa linakuja PK ameshapatana JK wahanga wanakuwa washabiki wa vita.Si kuna mwingine alishawahi kujitwisha zigo la Tanesco Tanzania kupitia twitter, na kizuri zaidi akawa na followers wengi kushinda akaunti halisi. Sasa majibu kwa wateja wake, utachoka.