Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Unavyoshangaa kama mgeni hivi huko CCM. Aisee.Nimeshangaa sana
Wezi wote walishasamehewa tusitarajie mapyaSHIRIKA la Umma la TBC limekata matangazo ya Bunge MUDA HUU wakati wabunge wakijadili Ripoti ya CAG, kwanini TBC chombo cha umma kizuie wananchi wasioangalie wabunge wakijadili ripoti ya CAG.
Au ni Maelezo ya Nape? kuwalinda rafiki zake walioguswa na ripoti ya CAG?
What a wasted maniiNimeshangaa sana
Makonda ingilia Kati wewe ndiwe Muenezi wa Taifa Ili Wananchi wote wafikiwe na Taarifa muhimu
Umeolewa karibuni maana unapenda sana manii!! 🐼
Hii sgr wangeweka nguvu kwanza lot 1 na 2 zikaisha kabisa 100% angalau treni za abiria na mizigo zianze kutembea mwaka huu .Paul Makonda ametambulishwa bungeni muda huu akifuatilia kwa makini uwasilishaji wa Taarifa za Kamati kuusu Ripoti ya CAG iliyobainisha ufisadi wa matrilioni ya Fedha katika miradi ya SGR, Bwawa la Nyerere, TANROADS, NHIF na maeneo mengi.
Mkuu hata wakijadili ukiwa unaona utafanya Nini? Nguvu ya wananchi ilishapotea muda mrefu. Sasa hivi ni kija kutiana hasira huku mitandaoni kisha tunaendelea na mgao wa umeme kama kawaida, na hakuna lolote tutafanya.Shirika la Umma la TBC limekata matangazo ya Bunge muda huu wakati wabunge wakijadili Ripoti ya CAG, kwanini TBC chombo cha umma kizuie wananchi wasiangalie wabunge wakijadili ripoti ya CAG?
Au ni maelezo ya Nape kuwalinda rafiki zake walioguswa na ripoti ya CAG?