Taarifa ya Kiintelijensia...Nesi huyu na Mgonjwa!

Mbona wahanga wa ukware wake hawasemi...?!:tongue:
 
PJ, that is unethical and warranty summary dismissal plus criminal kama mgonjwa amebakwa

we should always remember that ubakaji si kwa wanaume tu, bali jinsia zote.... the nurse must be suffering some kind of psychological issues au ni mbakaji na angekua mwanaume ingekua balaa

the best move is to report her and make sure she is taken care of, otherwise kuna hatari hata ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa na ukimwi

tukumbuke kwamba mwanaume aliyekaa wadini muda, anakua na kiu ya ajabu which may even impair him from rational thinking and protection mindset... he is vulnerable

ushauri ni kwamba huyo mtu apelekwe vyombo husika, na pia awekwe kwenye mtego

BTW, Ilembula pazuri sana... hivi kile chuo cha nursingbado kipo?
 
Kimey hebu panda Punda a.k.a XLR 250cc then kimbia Ilembula fasta, ukifika getini, iachie usivunjike mguu lakini....teguka tu, then nenda hospitali ukakague.....you never know....then utakuja kutupa findings.
 
Du hii kali, hapo huyo nesi ana kesi ya kujibu!
 
Kimey hebu panda Punda a.k.a XLR 250cc then kimbia Ilembula fasta, ukifika getini, iachie usivunjike mguu lakini....teguka tu, then nenda hospitali ukakague.....you never know....then utakuja kutupa findings.
hommie nimeicheki hii thread nikaona kuna maslai hapa....nipo gereji narekebisha plug, nikitoka hapa ni ilembula moja kwa moja...
ntajifanya nimeteguka kiuno....!! akienda kuniogesha atapata habari yake..lol:tongue:
 
PJ, hospitali nzuri sana hii na huyu nurse anapaswa asifiwe kwa kutoa tiba mbadala. Nipo kwenye sumry hapa itabidi nikifika Iringa tu niulizie hiyo hosp ilipo.
 
PJ Hii ni kali ya kuanzia 2011, natafakali then nitaingia kuchangia
 
Du..
Mkuu, hii ni habari mpya tena!
Unaposema MAPENZI YAWE NA KIPIMO, NI KIPIMO GANI SAHIHI CHA MAPENZI?...AU INATOFAUTIANA MTU NA MTU?

Kipimo ndugu hapo naongelea kwamba wasije wakawa wanakula tu raha wanasahau ya muhimu kama kupatiwa dawa nk...pia ni wazi kwamba mapenzi yanatofautiana kati ya mtu na mtu.
 
Chuo bado kipo japokuwa kinakuwa White-Elephant kwasasa maana kinazalisha nurse-midwives, ambao kwasasa hawana ishu!
.
.Huyu Nesi mkuu ni jambazi in total!
The thing is, jamaa alikuwa na senti senti zake kiasi, kwahiyo hiyo imesaidia sana kumfanya huyu mama azidishe machezo kwa mgonjwa!
Mi nilishangaa hadi muda huu jambo hili lilikuwa halijawafikia wamiliki wa hospitali kwaajili ya disciplinary action!
I would do so but i had no substance in the name of evidence!
Naamini kuna watu wanaohusiana moja kwa moja na Hospitali hiyo hapa, na watafanya mitego kumnasa!..
 
PJ, hospitali nzuri sana hii na huyu nurse anapaswa asifiwe kwa kutoa tiba mbadala. Nipo kwenye sumry hapa itabidi nikifika Iringa tu niulizie hiyo hosp ilipo.

-Hakikisha unapata ajali na kuvunjika ugoko ili uwe eligible kukaa pale kwa muda mrefu!
-Hakikisha una senti za kutosha ili upate TLC(Tender-Love-Care)!
 
Kimey hebu panda Punda a.k.a XLR 250cc then kimbia Ilembula fasta, ukifika getini, iachie usivunjike mguu lakini....teguka tu, then nenda hospitali ukakague.....you never know....then utakuja kutupa findings.
Nakuhakikishia atakuja na kabrasha la habari za Intelijensia!
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmhhhh,kina mama nasie tumo...........lol,full control!
 
PJ hiyo kali, lakini inaonekana na huyo mgonjwa nae karidhika na hiyo hali.
Vinginevyo si angekuwa wa kwanza kulalamika?
 
Kimey hebu panda Punda a.k.a XLR 250cc then kimbia Ilembula fasta, ukifika getini, iachie usivunjike mguu lakini....teguka tu, then nenda hospitali ukakague.....you never know....then utakuja kutupa findings.

Nadhani PJ ana ushuhuda zaidi ya huu aliotoa hapa.....hebu chekini na WL au preta.....wakakague miguu yake kama haijatoka kwa pop siku za karibuni....
 
Mh, hiinkali pj. lakini huyo mgonjwa anayetundikiwa mawe, anaogeshwa, halafu anasimamisha.... ni noma! atakuwa amepona ila amevutiwa na huduma 'endelevu' Kuhusu madhara; jamaa anaweza kuumwa zaidi sababu kuna secondary bacteria infection anawezapata achilia magonjwa yasabishwayo na virusi
 
Nadhani PJ ana ushuhuda zaidi ya huu aliotoa hapa.....hebu chekini na WL au preta.....wakakague miguu yake kama haijatoka kwa pop siku za karibuni....
Haha haaaa!

Mkuu, hii ni tuhuma nzito, tena isiyo ya Kiintelijensia!

Una uhakika gani kama nesi huyo si WL au Preta?..ha ha haaaa!:tinfoil3:
 
Haha haaaa!

Mkuu, hii ni tuhuma nzito, tena isiyo ya Kiintelijensia!

Una uhakika gani kama nesi huyo si WL au Preta?..ha ha haaaa!:tinfoil3:

Basi yaishe mkuu.....
Infact ninaomba radhi...lol
 
kumbe kupiga mpini sana kunaleta afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…