Hata sisi tunajua ni mda wowote, lakini specification ndio muhimu zaidi, sababu hzi porojo watu washazichoka,
haya sawa tumekuelewa
Ahsante mkuu
Asa mambo ya 2nd na 3rd batch hujaongelea..
Mtu anaweza kuwa kule kijijini kwetu nyantira lakini akawa ana update mambo ya dar.
Ni kwamba bodi walikuwa wanaxubil majina ya walioomba kuhama vyuo,kwa hyo kwa kuwa wamemaliza kazi yao baada deadline kufikiwa,BODI WAMEXEMA MDA WOWOTE WATATOA MAJINA YA WALIOPATA MKOPO 2013/14.(chanzo cha habari ni kutoka bodi ya mkopo dar kitengo nyeti)..for more info usisite kumuuliza ->"[updated-boy]">'0768260834'
kuna yule researcher wa Nigeria, alihusisha watu wanaotumia X kumaanisha S, na katabia gani kalee mnaokumbuka mtusaidie,,,,
Kawaida bodi huwa inatoa majina mwezi wa kumi, mara au muda mchache kabla UDSM hawajafungua. Hivyo subirieni tu bahati hailaliwi mlango wazi.
Kawaida bodi huwa inatoa majina mwezi wa kumi, mara au muda mchache kabla UDSM hawajafungua. Hivyo subirieni tu bahati hailaliwi mlango wazi.
yeah,n kwel mbute bt ths year z different xo uciish kwa kukariri..mind u am [updated-boy]
mkuu mbona mwaka jana walitoa tar 19september?
mkuu mbona mwaka jana walitoa tar 19september?
Congratulations [updated-boy]