Si kweli, ilikuwa mwezi wa kumi. Vyuo kama SAUT na matawi yake huwa wanafungua tarehe 23 Septemba, na huwa loans board hajatoa majina.
Ni kwamba bodi walikuwa wanaxubil majina ya walioomba kuhama vyuo,kwa hyo kwa kuwa wamemaliza kazi yao baada deadline kufikiwa,BODI WAMEXEMA MDA WOWOTE WATATOA MAJINA YA WALIOPATA MKOPO 2013/14.(chanzo cha habari ni kutoka bodi ya mkopo dar kitengo nyeti)..for more info usisite kumuuliza ->"[updated-boy]">'0768260834'
Ata cc tunajua ni any time,,,,kumbuka,kuandika hisia hapa sio kitu kizuri......
hz ni porojo tu kama za SODOKA
Kijana uko right,japo wa2 wamechoka kusubir lakn tukubar zis tz things never be straight as it is!!!
kwa historia mwaka jana loans board walitoa majina siku kama ya leo