TAARIFA YA KUAMINIKA WANAOSUBILIA MKOPO NA TCU SELECTION 2nd BATCH&3rd BATCH!

TAARIFA YA KUAMINIKA WANAOSUBILIA MKOPO NA TCU SELECTION 2nd BATCH&3rd BATCH!

Si kweli, ilikuwa mwezi wa kumi. Vyuo kama SAUT na matawi yake huwa wanafungua tarehe 23 Septemba, na huwa loans board hajatoa majina.

noop, walitoa september.,mind u i was,i am and i ll be [updated-boy]
 
Ni kwamba bodi walikuwa wanaxubil majina ya walioomba kuhama vyuo,kwa hyo kwa kuwa wamemaliza kazi yao baada deadline kufikiwa,BODI WAMEXEMA MDA WOWOTE WATATOA MAJINA YA WALIOPATA MKOPO 2013/14.(chanzo cha habari ni kutoka bodi ya mkopo dar kitengo nyeti)..for more info usisite kumuuliza ->"[updated-boy]">'0768260834'

Ata cc tunajua ni any time,,,,kumbuka,kuandika hisia hapa sio kitu kizuri......
 
Back
Top Bottom