Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
ILIYOFANYWA NA KUNDI LA 42 NA KUNDI LA 40 WALIOFANYA MARUDIO
(SUPPLIMENTARY) TAREHE 18-26 JUNI, 2026
Taarifa inatolewa kwa wanafunzi wa Kundi la 42 na watahiniwa wa Kundi la 40 waliofanya mitihani ya marudio (supplementary) kuwa; katika kikao chake Maalum kilichofanyika tarehe 6 Julai, 2026, Bodi ya Uendeshaji ya Taasisi imeamuru kurudiwa kwa Written Practical Assessments (WPA's) zilizofanyika tarehe 18-26 Juni, 2026 baada ya kubainika kwa udanganyifu uliofanywa wakati wa ufanyikaji wa WPA's hizo.
Marudio ya WPA yatafanyika_katika muda utakaopangwa na Taasisi baada ya kukamilika kwa Mafunzo ya Uwandani (field placement) kwa Kundi la 42. Taarifa kamili na ratiba zitawekwa katika tovuti ya Taasisi hivi karibuni.
Imetolewa na
Uongozi wa Taasisi
16 Julai, 2026
Pia soma ~ Law School of Tanzania ilitangaza kukamata wachache kwa udanganyifu wa mitihani, why wanafunzi wote turudie mitihani?