Hongera kwa mshika makali, je mshika mpini atakubali?Safi sana TLS mnajitahidi kutimiza wajibu wenu, keep it up TLS.
Katika chaguzi zote tangu ule wa TL CC Walijaribu kuingilia ili kuweka watu wao. Hawajamaa TLS Waliwakatalia.Safi sana TLS mnajitahidi kutimiza wajibu wenu, keep it up TLS.
Kuwa careful na wording yako. Hakuna makubaliano ni mazungumzo tu ya kupitisha ujio/ugeni wake TLS! Hakuna walilozungumzwa ambalo ni BINDING to both sidesTAARIFA YA MAKUBALIANO
Kati ya
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS)
Na
Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George M. Masaju
Tarehe: 11 Agosti 2025
Kufuatia ahadi iliyotolewa mnamo Aprili 2025 ya kufika mbele ya Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, uongozi wa TLS umefanya kikao cha mashauriano na majadiliano na Mheshimiwa Jaji Mkuu kuhusu masuala muhimu yanayohusu mahakama, utoaji wa haki, utawala wa sheria, na ustawi wa tasnia ya sheria nchini.
Mazungumzo haya yalilenga kuimarisha ushirikiano wa taasisi hizi mbili katika kuhakikisha haki, uwazi, na uadilifu vinaimarishwa katika mfumo wa utoaji haki nchini.
1. Taswira ya Mahakama kama Chombo Huru cha Utoaji Haki
TLS iliwasilisha hoja na wasiwasi kuhusu mwenendo unaoweza kudhoofisha taswira ya Mahakama kama chombo huru cha utoaji haki.
Mheshimiwa Jaji Mkuu alisikiliza hoja hizo kwa umakini, akaonesha kuelewa changamoto hizo, na akaahidi kushirikiana na wadau husika kuhakikisha haki inatendeka na ionekane ikitendeka.
2. Masuala ya Utawala Bora na Wajibu wa Mawakili
Pande zote zilikubaliana juu ya:
Umuhimu wa utawala bora na utawala wa sheria.
Wajibu wa Mawakili kama Maafisa wa Mahakama kutekeleza majukumu kwa uadilifu.
Kuimarishwa kwa Kamati ya Maadili ya Mawakili ili kuepuka upendeleo au udhalilishaji wa Mawakili mbele ya kamati hiyo.
3. Suala la Dhamana kwa Mahakama za Mwanzo
TLS ilibainisha changamoto za msongamano wa mahabusu na ucheleweshaji wa dhamana.
Mheshimiwa Jaji Mkuu alifafanua kuwa ametoa maelekezo kwa Mahakama za Mwanzo kuhakikisha dhamana inatolewa mara moja kwa makosa yanayodhaminika, kwa kujidhamini au kudhaminiwa.
Kufikia 30 Julai 2025, mahabusu wote 1,411 waliokuwa katika Mahakama za Mwanzo walikuwa wamepewa dhamana.
Mpango wa kupanua utaratibu huu hadi Mahakama za Wilaya na Hakimu Mkazi pia ulielezwa.
Wananchi wametakiwa kutoa taarifa za uvunjaji wa maagizo haya kupitia Mahakimu Wafawidhi au Majaji Wafawidhi.
4. Haki ya Kupata Haki kwa Wakati na Uwazi wa Mashauri
TLS ilisisitiza umuhimu wa mashauri hususan yenye maslahi ya umma kusikilizwa kwa wakati na kwa uwazi.
Pande zote zilikubaliana juu ya heshima kwa wadau wote wa Mahakama na mavazi yanayokidhi taratibu za Mahakama.
Wahudhuriaji wa mashauri watatambuliwa kama wadau muhimu na kulindwa dhidi ya vitendo vya ubaguzi au udhalilishaji.
5. Changamoto za Upatikanaji wa Haki na Maslahi ya Mawakili
TLS iliwasilisha hoja kuhusu maslahi ya Mawakili, hasa katika mashauri ya dock brief.
Mahitaji ya kuwepo Jaji au Hakimu wa zamu kwa mashauri ya dharura yalijadiliwa.
Mheshimiwa Jaji Mkuu aliahidi kufanyia kazi changamoto hizo.
6. Maadili, Uelewa, na Ulinzi wa Hadhi ya Mawakili
Mheshimiwa Jaji Mkuu alisisitiza umuhimu wa weledi, maadili, na maslahi ya wateja kwa Mawakili.
Mahakama itaendelea kuhakikisha Mawakili hawanyanyaswi wala kudhalilishwa wanapotekeleza majukumu yao, mradi wazingatie sheria na kanuni.
Pande zote zimekubaliana kuendelea kushirikiana kwa karibu ili kuhakikisha mfumo wa utoaji haki nchini Tanzania unakuwa huru, wenye uwazi, na unaozingatia haki za kila mmoja.
Asante Mkuu Retired nimeona ilitakiwa iwe mashiauriano na majadiliano.Kuwa careful na wording yako. Hakuna makubaliano ni mazungumzo tu ya kupitisha ujio/ugeni wake TLS! Hakuna walilozungumzwa ambalo ni BINDING to both sides
exactly! masatu anaweza akayafanyia kazi na kuzaa makubaliano huko mbeleiwe mashiauriano na majadiliano.
Siyo MASATU ni MASAJU.exactly! masatu anaweza akayafanyia kazi na kuzaa makubaliano huko mbele
ASANTE KWA MAREKEBISHOSiyo MASATU ni MASAJU.
Ya Lissu Mwambukuzi hakulisema? La mdude jee? Mbwakusi Kalamba asali zamani tuSafi sana TLS mnajitahidi kutimiza wajibu wenu, keep it up TLS.
Nyuzi zingine zikupite tu nzi wa kijani weweYa Lissu Mwambukuzi hakulisema? La mdude jee? Mbwakusi Kalamba asali zamani tu
Ya Lissu Mwambukuzi hakulisema? La mdude jee? Mbwakusi Kalamba asali zamani tu
TLS fundisheni bure mtandaoni kozi zinazohusu katiba, serikali na madaraka na mgawanyo wake, haki za raia na maadili kwa viongozi wa umma.TAARIFA YA MAKUBALIANO