mandago shululu
Senior Member
- Mar 24, 2013
- 125
- 36
Most likely and this is so, Kuna reliable source kutoka kwa Mbunge wa chadema (Aida Joseph Kenani) anaweza akawapa reliale information. uwe unawaza zaidi ya uchawa!Juzi mwenyekiti wa chadema Taifa freeman Mbowe alisema kwamba wabunge wamejiongezea mshahara kutoka M13 hadi M18 pasipo kuweka ushahidi wowote ule,Taarifa hiyo ilikanushwa na Bunge kwamba sio kweli kwamba wabunge wamejiongezea mishahara na taarifa hiyo ipuuzwe.
Aliyetoa taarifa ya kukanusha ongezeko la hiyo mishahara alipaswa aweke ushahidi ili kumuumbua Taarifa ya mbowe.
Kwa hiyo wote wapuuzwe kwani hakuna mwenye taarifa kamili.kama Kuna yoyote mwenye ushahidi kutoka hata upande mmoja aweke hapa ili tuelewane.
Kwa mfano ukawekwa ushahidi kweli wanavuta hayo maburungutu yawalipa kodi watakua tayari kuwajibika kwa kuudanganya umma wa wadanganyika? By the way mishahara na maslahi ya viongozi haipaswi kuwa siri kwa sisi tunaowalipa lakini kwakua kuna uchafu mwingi ndio mana hawako tayari kufanya hivyo wanamiliki mali zaidi ya vipato vyaoJuzi mwenyekiti wa chadema Taifa freeman Mbowe alisema kwamba wabunge wamejiongezea mshahara kutoka M13 hadi M18 pasipo kuweka ushahidi wowote ule,Taarifa hiyo ilikanushwa na Bunge kwamba sio kweli kwamba wabunge wamejiongezea mishahara na taarifa hiyo ipuuzwe.