Taarifa Ya Msiba

Taarifa Ya Msiba

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,605
Reaction score
1,843
As received


Ndugu yetu ILYAS IBRAHIM afariki dunia







04/03/2009

Marehem Ilyas Ibrahim.JPG

Tunasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu ILYAS IBRAHIM ambaye amefariki dunia tarehe 03/03/2009 mjini Northampton, U.K.

Mwili wa marehemu upo hospitalli ya Northampton na Insha'Allah mara tu utakapopatikana itatangazwa rasmi maziko yake kamili.

Kwa yeyote ambaye angependelea kusaidia chochote kwa kumsitiri marehemu, wanaoshughulikia maziko wameomba mchango wako utiwe kwenye akaunti yao ifuatayo:

Jina la Akaunti: Murtadha Adan

Benki: Barclays Bank

Namba ya Akaunti: 80195014

Sort Code: 209655


------------ --------- --------- ---------

Contact: 07985115616 (Murtadha)

Contact: 07884160039 (Nasher)

Picha kwa hisani ya Farid Mohammed.



- Inna lillahi wa inna ilayhi raajun
Hakika sisi sote ni wa M'Mungu na Kwake Tutarejea


شكرآ وجزاك الله خيرآ
لا تنسونا من دعائكم
 
Poleni sana mliofiwa. MUNGU ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape faraja, nguvu na uvumilivu ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu kwao~AMEN.
 
Tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo,poleni sana wafiwa na Mungu awatie nguvu.Amina.
 
Hakika kila nafsi itaonja mauti, nawapa pole wafiwa na kumuomba Mola awape nguvu, Imani na uelewa katika kipindi hiki kigumu. Inna Lillah Waina Ilaihi Raj'un.
 
RIP Ilyas. Mungu awape nguvu wafiwa.
 
Sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Pole kwa wafiwa.
 
Mungu ampumzishe mahali pema peponi, Amen! Poleni sana wafiwa katika kipindi hiki kugumu na cha majonzi!
 
Hakika yote yatoka kwa mola,tumuombee apumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom