Taarifa ya mzee mbuya wakilema...

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mzee mbuya wakilema baada ya.kuona wanawe wote wako.nje awaji.xmass kamwe akanyanyua.simu akapiga kwa mwanae joy wa s.africa


joy kuanzia kesho nimeamua kuachana.na.mama yenu kabisaa..pemben sauti ya kilio mama akilia..joykaomba baba asubiri anapiga kwa grace washngton

grace kapiga.kwa jose.kakayao wa bulgaria na mwenzao.wa swaziland wakakubaliana kwenda moshi wote

akanyanyua simu kapigakwa baba naomba.usifanye ktu tunakuja wote keshokutwa

mzee mbuya:mama si nilikwambia awa watoto awaji mpaka nilianzoshe sasa xmass na watoto wote..weka pipa la mbege

chamecha mbuya
 
Hahahaahhaahaha Wakija wanakuta Dingi anaendeleza maloveee kwa mama
 
Unashidaya wanao awataki kurudi fanya juu hapoo..
 
Wakija faza anaamsha zogo kana kwamba kweli hamtaki wife ili ujio wao usiwe wa bure ionekana kuna kazi walifanya kunusuru ndoa ya wazazi
 
Chamecha Mbuya kanyi......poo......koicho mnoru luwike moro.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…