Taarifa ya ndoa kwa member wa JF

Nawatakia Kila la Kheri katika Maisha ya Ndoa!
 
khaaaaaaaaa
 


Unataka kuanzisha michango?
 
hongera mae kukiwa na bia za bure nije
Huyu mbona huwa naona posts zake nyingi zina mambo ya kanisa kuna pombe humo kweli! au ni zile harusi za kwenda unakuta meza moja ina viti 9 halafu wanaweka boksi moja la juice ya Azam na vile vidude vya disposable vya kunywea, hahahahaha
 
Nina cheti cha uzamivu kwenye kamati ya vinywaji na chakula so msihangaike mm nipo nitafanya hiyo kazi
vipi ukipewa ya Ulinzi, uangalie magari ya waalikwa na usalama kwa ujumla, hahahahahahahah
 
Huyu mbona huwa naona posts zake nyingi zina mambo ya kanisa kuna pombe humo kweli! au ni zile harusi za kwenda unakuta meza moja ina viti 9 halafu wanaweka boksi moja la juice ya Azam na vile vidude vya disposable vya kunywea, hahahahaha
ha haha basi siji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…