Taarifa ya ndoa kwa member wa JF

naomba kuwa kwenye kamati ya vinywaji
Mchaga na vinywaji????

Hatujaanza kuandaa kamati ila nitaongea sweet wangu tuone la kufanya. ...
Kwa sasa sifanyi maamuzi peke yangu kwa sababu tayari nina mwenza!
 
Hongereni sana chikira&tutor

Bado mie na mahondaw ,sijui lini tutapata wenza wa maisha ya JamiiForums[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…