TAARIFA YA NDOA kwa wana Chit-chat wote

mie ninacho hitaji hapa ni ndoa maswala ya kukaguana ni ya kizamani bwana,sisi alimladi tumependana shida ya nini? jamani hapo mtakuwa mmeingilia uhuru wa ndoa tafwaaasalin sana aiseeee!!!!!!

hiyo ndoa unayotaka wala CC haitaitambua...
 
Baba V wahisha mkuu nitakosa mwana kwa maji ya moto.
 
Last edited by a moderator:
Mwambie tu mipango yetu asijekufa kwa presha huko baadae....ila hakikisha umwambie mkiwa maeneo ya hospital kabisaaaaa.....me love u Evelyn Salt..

kha! Wewe wewe inamaanisha nini hiyo?
 
Last edited by a moderator:
hiyo ndoa unayotaka wala CC haitaitambua...

hamuoni kuwa mtakuwa mnaniabisha! Nimemsikia charminglady anasema akanikague. Mh! Kwanini asinikague my Evelyn Salt yeye ndo atawaambia nyie kama mie muuza bamia au mkimbizi mwenye paspot ya nchi nyingi. Hapo napinga kabisa mie kukaguliwa na charminglady
 
Last edited by a moderator:
Slave ndoa za humu jamvini zinavunjika hata kabla ya kufungwa,
utakubali kuwa Slave wa ndoa za humu jf?

Last edited by a moderator:
Erickb52 habari ya weekend,
najua umejitahidi kunilinda sana (thank u)
mi nilikuwa nje ya nchi kidogo, but i am back,
pia nicopie kwa Vin Diesel kuwa ndoa basi hadi atakapoweka speed governor tukutane tena.

Semeni yoooote ila silaliiiiiiiiiii
Nampenda dada yangu Mamndenyi lazma nimlindie mautamu yakeee
 
Last edited by a moderator:

Vigezo na masharti lazima kuzingatiwa..."ukitaka vya uvunguni, shurti ubong'oe"
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 habari ya weekend,
najua umejitahidi kunilinda sana (thank u)
mi nilikuwa nje ya nchi kidogo, but i am back,
pia nicopie kwa Vin Diesel kuwa ndoa basi hadi atakapoweka speed governor tukutane tena.

mnanitisha aisee!
 
Sijaiona taarifa hiyo kwenye inbox yangu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…