Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu Kwa Magaidi wa Hamas!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu:

Kwa bahati mbaya, hii inazungushwa zaidi na magaidi wa Hamas ambayo hawana jipya.

Vita vinaweza kumalizika mara moja kwa masharti yaliyowekwa na Baraza la Mawaziri la Usalama:

1. Mateka wote waachiliwe .
2. Hamas wanyang’anywe silaha.
3. Ukanda usiwe na silaha( demilitarized )
4. Israeli lazima iwe ina udhibiti wa usalama katika Ukanda.
5. Utawala mbadala wa kiraia umeanzishwa ambao haufundishi ugaidi, kupeleka magaidi au kutishia Israeli.
Masharti haya pekee ndiyo yatawazuia Hamas kujizatiti na kurejea kwenye mauaji ya Oct 07,2023 tena na tena kama walivyoahidi.


View: https://x.com/mossadil/status/1954571058469638269?s=61
 

Bila kusema ni waziri mkuu wa wapi unabakia kuwa utopolo kama mwingine wowote!

 
Tundu lissu ni mungu wako? Akisema yeye ndiyo inakuwa? Hata huyo Mandela wako wote ni binadamu wanaweza kukosea hata kusema uongo na hawawezi kujua kila kitu!!!

Kwa hiyo wewe akili yako imeshikishwa kwa Tundu Lissu na Mandela? Au imani yako imeshikiliwa na watu hao!? Acha ujinga wewe!!!
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…