N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 560
S/O Ambros kalisti na amefikishwa mahakamani leo kwa tuhuma za mauaji na kujaribu kuua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Kinyakyusa tunasemamhhhhhh, kunakila dalili hii kesi kuja kugeuzwa kuwa ya kisiasa, usishangae kusikia ya lwakatare
watakuja na kusema mtuhumiwa amekiri kutumwa na chadema. nchi hii haishi vituko. bado sijapata sababu za pinda, nchimbi nk kutja jina la mkristo tu walipokuwa wanawataja watuhumiwa.Kazi imeanza
walitaja kisiasa zaidiwatakuja na kusema mtuhumiwa amekiri kutumwa na chadema. nchi hii haishi vituko. bado sijapata sababu za pinda, nchimbi nk kutja jina la mkristo tu walipokuwa wanawataja watuhumiwa.
kujaribu kuua wakati kuna watu wamekufa pale pale? nchi ya ajabu sana hii.S/O Ambros kalisti na amefikishwa mahakamani leo kwa tuhuma za mauaji na kujaribu kuua.
Huyo Victor wamemuonea tu!kama wamekosa watu wa kuwashika,wangesema upepelezi unaendelea,huyo Ambrose hana kosa!kumpa kesi mauaji ni kumuonea!
nafasi ni yako sasa kumtaja mtuhumiwa kuna mil 50 zinakungoja mkuu
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]![]()
[/FONT]Mtuhumiwa Bomu Kanisani Arusha, Victor Ambrose Calist (20).[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]MTUHUMIWA mmoja kati ya tisa waliotiwa mbaroni na jeshi la polisi baada ya kutokea mlipuko wa bomu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka 21 ya ma
[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]uaji na kujaribu kuua.
[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Kesi ya mshtakiwa Victor Ambrose Calist (20) ambaye ni dereva wa bodaboda na mkazi wa eneo la Kwa Mromboo jijini Arushai amesomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu mkazi, Devotha Kamuzora.CHANZO http://audifacejackson.blogspot.com
[/FONT]
iKuna kitu nlimiss. Naomb uniweke kwenye scene. Cardinal Pengo alisemaje?Kwa nini wageni hao walikamatwa na kuhusishwa na kadhia hiyo? Serikali iko tayari kuwalipa fidia kwa kuwachafua kwa tuhuma zisizowahusu? Kwa nini walikamatwa wao badala ya wengine waliokuwa eneo la tukio? Watz tuna maswali mengi juu ya jambo hili na tunaelekea kuamini maneno ya Card Pengo
iKuna kitu nlimiss. Naomb uniweke kwenye scene. Cardinal Pengo alisemaje?