Taarifa ya serikali kuhusu uingizwaji wa mifugo nchini Tanzania

Kitu kikubwa ambacho watu wengi tunakosea ni kujua Sera(policy) za serikali kuhusu Biashara tunazozifanya either ndani ya nchi na hata nje ya nchi , kuhusu Mifugo huu ni mfano tuu lakini hii ni alert kwa tulio na Biashara au tunaoingiza mizigo kutoka nje kufuatilia kwa umakini Sera za serikali kuhusu Biashara zetu

Leo imeanza kwenye Mifugo na kuku kesho tutasikia nini? Naomba Tuwe tunafuatilia ili tusije kulia bure na namna mitaji ilivyo migumu kupata
 
Kweli wewe ni PUNDA.
 
Tatizo sidhani kama ni kutofahamu ila ni kutaka kufanya mambo kwa njia za mkato, tulizoea kufanya hayo mambo kwa kipindi kirefu sana kutofuata sheria na kutegemea rushwa na huruma za watendaji, mfano mzuri ni huu hapa, serikali imetoa maelezo ya kina kila mmoja wetu amesoma na kuelewa, ila mtu anakazania kupinga na kutaka serikali isitumie sheria zilizopo badala yake itumie huruma na wema wa kibinadamu, lakini ingetumia wema hao hao wangesema wafanyakazi wamekula rushwa, au huyo mfanyabiashara ni ndugu wa mkubwa serikalini
 
Natamani nikujibu lakini matusi sikuzoea Mdogo wangu, M/Mungu Allah S.W alitusisitiza kujiweka mbali na viumbe vinavyojitahidi kutafuta Shari
Tufanye kwa upeo na amani ya moyo wako kua Umeshinda
 
Natamani nikujibu lakini matusi sikuzoea Mdogo wangu, M/Mungu Allah S.W alitusisitiza kujiweka mbali na viumbe vinavyojitahidi kutafuta Shari
Tufanye kwa upeo na amani ya moyo wako kua Umeshinda
Nadhani sasa umeshaelewa. Umebaki kufanya uamzi tu. Ukiwa na ubishi bila information unaitwa ni umbumbumbu.
Ungeelewa tu GMO na madhara yake usingeendelea kubisha.
 
Nani angelipa hiyo gharama? Huoni kiberiti ni suluhisho rahisi?
 
Peleka upumbavu miaka yote inaishia 2015! Ingiza tena tuone.. shenzi wewe unatetea ukwepaji kodi!
 
Nyumbu wako monitored na FZS ndo maana ikaitwa Nationalpark! Kuna makubaliano ya utunzwaji wake kwa sheria za uhifadhi usitake kuchanganya desa
 
Huoni kama ingelikua bora hata hizo gharama zingejumuishwa kwenye faini atakayolipa muingizaji ikiwemo hata kutaifisha gari iliyotumika kuingiza hao vifaranga kuliko kuteketeza kwa moto viumbe hai kinyume na haki za wanyama Duniani
Kwann hamuoni hilo la Kenya kukataa kupokea vifaranga vilivyotoka nchini mwake? Muache ubwege washenzi nyie! Mnaudhi..
 
Duniani kote njia ya kuteketeza wanyama kukitokea mlipuko inatumika, Tanzania inachofanya sio kigeni, tena kwa wenzetu huko ulaya wanawafanyia wanyama wakubwa kama nguruwe na ng'ombe, wanawateketeza kikatili sana
Waambie ugonjwa wa kichaa cha ng'ombe (mad cow disease) Uingereza waliteketeza mamilioni ya ng'ombe! Kinachoendelea sasa ni kwamba Magu kawabana watu wa biashara za magendo haswa Machalii ndo maana kuna upumbavu huu wa kutetea as if serikali haikutaka kurudisha vifaranga Kenya. Bravo Magu..
 
Pumbavuuuuuuuuuu na Geza ulole wakoooo
 
Ndugu,kila nchi ina taratibu zake,na hakuna ubabe wa aina yoyote.yaani sisi wenyewe watazania tuna tatizo kati wakulima na wafugaji halafu bado turuhusu waje walishe mifugo yao bongo.kwa ujirani huohuo kuna kipindi kenya walipiga marufuku magari ya kubeba watalii kutoka tz yasingie airport za kenya mpaka marehemu sitta alipowabana kuhusu ndege zao kuingiak tz ndipo walipolegeza masharti.kwa msingi huo ina maana kenya,uganda rwanda,burundi ,congo ,zambia,malawi na msumbiji waingize mifugo yao tz kwasababu tu ya ujirani?
Kwa kifupi wakenya wanatudharau sana,na namshukuru sana president alipopigilia msumari kwa kusema tz sio shamba la bibi.kama tz wamekataa kulisha mifugo si wapeleke kulishia uganda au south sudan?ili tuheshimiane kila nchi lazima ifuate taratibu za nchi nyingine.kwa mfano msumbiji tulipeleka wanajeshi wetu kwa ajili ya kupigania uhuru wao lkn juzijuzi wabongo wametimuliwa kwasababu waishi bila kufuata taratibu na waliacha mali zao pamoja na familia zao,je huo ndio ujirani?
 
Kwann hamuoni hilo la Kenya kukataa kupokea vifaranga vilivyotoka nchini mwake? Muache ubwege washenzi nyie! Mnaudhi..
Matusi si jambo jema kwa watu wazima wenzio! Jifunze kauli nzuri itakusaidia sana maishani
 
Nadhani sasa umeshaelewa. Umebaki kufanya uamzi tu. Ukiwa na ubishi bila information unaitwa ni umbumbumbu.
Ungeelewa tu GMO na madhara yake usingeendelea kubisha.
Ingekua vyema kama ungetaka tubishane basi tungebishana kwa hoja badala ya matusi yako! Wengine sisi tuna allergy na matusi hatupendi kutukanwa wala kutukana wengine ,yaonyesha wewe matusi ni sehemu ya maisha yako na hilo pengine si kosa lako labda malezi,hukupata malezi mazuri ! Ila katika hii Dunia usifikiri kila MTU anawaza kama unavyowaza wewe ndio maana tunatakiwa kukemeana kwa hoja badala ya matusi. Subha Kheir kijana
 
Tatizo tulilonalo hapa Africa kwa ujumla ni uchanga katika matumizi bora ya ubongo, hilo ni tatizo kubwa sana, haijalishi kama mtu amesoma au hapana, ukimsikiliza mtu mwenye elimu ya degree au hata PhD, utashangaa jinsi anavyodadavua mambo, katika hili sijutii kwa kutofika chuo kikuu.

Ninayakumbuka vizuri sana maneno ya Julius Nyerere, niniomba nimnukuu"Watanzania wengi ni wavivu, tena kazi kubwa wanayoiogopa ni kazi ya kufikiria", mwisho wa kunukuu, hili sio tatizo la watanzania pekee, ni Afrika nzima, nenda Zambia usikilize mazungumzo yao, utashangaa sana, sasa hebu vuka mpaka uingie DRC usikie upeo wao wa mawazo, unaweza kulzwa hospital na ugonjwa usionekane, usiende South Sudan kwanza, ingia Kigali usikilize jinsi wanavyofanya analysis ya mambo mbalimbali, Uganda kila raia wa Uganda is better than Museven, kuna msemo kwamba idadi ya raia wa Uganda ni sawa na idadi ya marais wa Uganda, malizia na watani wetu wa jadi hapo Nairobi, sikiliza mawazo yao na uwazo wao wa kufikiria, ukirudi Tanzania sidhani kama utaishi zaidi ya miezi miwili ukikamilisha huo mzunguko.
 
Tz sio mbuga za kulishia mifugo ya nchi Jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…