Lasway.Jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 233
- 413
Kitu kikubwa ambacho watu wengi tunakosea ni kujua Sera(policy) za serikali kuhusu Biashara tunazozifanya either ndani ya nchi na hata nje ya nchi , kuhusu Mifugo huu ni mfano tuu lakini hii ni alert kwa tulio na Biashara au tunaoingiza mizigo kutoka nje kufuatilia kwa umakini Sera za serikali kuhusu Biashara zetu
Leo imeanza kwenye Mifugo na kuku kesho tutasikia nini? Naomba Tuwe tunafuatilia ili tusije kulia bure na namna mitaji ilivyo migumu kupata
Leo imeanza kwenye Mifugo na kuku kesho tutasikia nini? Naomba Tuwe tunafuatilia ili tusije kulia bure na namna mitaji ilivyo migumu kupata