Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kwa wakati huu,
shauku, bashasha, macho na maskio ya miongoni mwa wadau wa siasa, harakati na demakrasia nchini Tanzania, yameelekezwa zaidi katika kujua, kuelewa na kufahamu matokeo ya hatua muafaka ambazo taasisi imara sana za umma zimechukua dhidi ya vielelezo vya uthibitisho vilivyoibuliwa majuzi na miongoni mwa wabunge wa bunge la Tanzania na kuwasolishwa kwa spika..
kupitia kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge...
Je, wamebaini kitu gani kwenye vielelezo alivyowasilisha muungwana wa jimbo la kisesa? wamefikia uamuzi upi wa mwisho na kumshauri spika, kwa maslahi mapana ya taifa, heshima ya bunge la Tanzania, chama na serikali sikivu ya ccm?
na wamependekeza hatua gani muhimu za kuchukua kulingana na kazi nzito, wajibu na majukumu muhimu na mazito sana waliyopewa na bunge kupitia kiti cha spika..
lakini pia taarifa ya maamuzi ambayo ccm itayachukua dhidi ya mwanachama wake baada ya maamuzi ya bunge dhidi ya mbunge wa ccm. unadhani wanaweza chukua hatua gani kisiasa?
lakini pia jambo la mwisho muhimu,
ni kitu gani Tume Huru ya ya Taifa Uchaguzi itaarifiwa na ccm kuhusu mwanachama wake ambae ni mbunge, kisha na wao kulijulisha bunge na umma wa waTanzania?
unadhani nini kitatokea?
let's wait and see, muda utaongea