Taarifa ya Uamuzi wa kamati ya katiba, sheria na hadhi za wachezaji

Taarifa ya Uamuzi wa kamati ya katiba, sheria na hadhi za wachezaji

Acheni mapovu. Point zilishayeyukia uwanja wa Kaitaba. Polisi ya dar nao wakomalie rufani yao ya kombe la FA dhidi ya Paka
 
Hata uamuzi wa Kamati una mapungufu makubwa sana;

1. Badala ya ku-establish facts, jamaa ana kadi au hana, wao wanatuletea habari ya matokeo!
Nani aliulizia issue ya matokeo.
2. Badala ya kutueleza kama uchunguzi uanonesha Fakhi alikuwa na kadi 2 au 3 (idadi) wao wametuletea sababu iliyosababisha akapata. Eti wanasema ripoti moja inasema alipewa kadi kwa kosa la kumvuta mchezaji mwenzake, mwingine akasema ni kwa kumrukia mwenzie. Sasa utata hapo ni sababu ya kadi au uwepo wa kadi?
3. Badala ya kuchunguza na kuestablish facts, wao wanatoa uamuzi kwa kuangalia benefit of doubt!
4. Badala ya kutueleza usahihi wa taarifa na takwimu za maafisa waliosimamia mchezo, wao wametueleza taarifa zilitumwa kwa email, mara binafsi, mara simu ilipotea, so what?

Ndio maana tunasema Malinzi, na TFF yake pamoja na kamati wamepoteza kabisa legitimacy ya usimamizi wa mpira. Waamuzi na Kamisaa hawaelewani, Kamati kwa kamati zinakuja na uamuzi tofauti kwenye jambo moja, and so forth.
Acha kujifanya uelewi wewe, Rufaa ya simba sio halali kwa sababu kuu mbili, haikukatwa kwa wakati unaotakiwa na pia hiyo rufaa haikulipiwa ada.
Mpaka hapo haikustahili kusikilizwa.
Kama hamjui hata masharti ya kukata rufaa inabidi tu tuwashangae tu.
Mlitaka isikilizwe bure kisha mpewe point tu za mezani au?
Ana kadi ngapi haina tena maana maana rufaa haikua halali toka mwanzo, kesi inaishia hapo tu.
Rufaa ingekua halali hapo ndipo waliopaswa kuzungumzia ana kadi mbili au tatu.
Kwa hiyo msijichoshe au kutuchosha zingatieni utaratibu tu.
 
Bwana mdogo usinilazimishe kuelewa ujinga.

Siku nyingine unapotaka mjadala na mtu fanya utafiti wa kutosha ili usilete hoja nyepesi kwenye maswali magumu.
Kwa kukusaidia tu nijibu yafuatayo;

1. Nani alikwambia Simba amekata rufaa? Unaelewa tofauti kati ya malalamiko na rufaa?
2. Kama malalamiko ya Simba yako nje ya muda na hayakidhi vigezo kwa nini yalisikilizwa na Kamati ya Saa 72?
3. Tuseme malalamiko ya Simba yako nje ya muda na hayana vigezo, unaweza kutumia siku karibu saba kuisikiliza rufaa ya
Kagera? Unaweza kuleta mashahidi hadi akina Jonisia Rukyaa ili watoe ushahidi gani kwa malalamiko ambayo nyaraka zake hazina vigezo? Unaweza kuahirisha vikao 2 vya maamuzi kwa ajili ya kuamua kama malalamiko yana stakabadhi ya malipo?
4. Malalamiko hayana vigezo, unatuambia hujajua kama kadi ilikuwa ya kumvuta mchezaji mwenzke au kumrukia?

TFF wanafaidika sana na uwepo wa kundi kubwa la watu wasio makini ambao ushabiki na unazi umefanya mshindwe kuona hata vitu rahisi. Wakati sisi tunazungumzia utawala na usimamizi wa mpira una dalili ya ukakasi na mizengwe na si afya kwa mpira wa nchi wewe na baadhi ya washabiki wenzako mnaleta unazi.
 
Back
Top Bottom