Wizara ya Ardhi
Govt Institution
- May 14, 2024
- 306
- 165
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amefanya kikao kazi cha pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakary Kunenge chenye lengo la kupokea Taarifa ya Timu ya Wataalam iliyoundwa na Wizara kwa ajili ya kuchunguza migogoro mbalimbali ya ardhi Mkoani humo.
Taarifa hiyo ya wataalamu imekabidhiwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe Abubakary Kunenge na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi kwa ajili ya utekelezaji wake.
Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Pwani leo Agosti 20, 2025 na kuhudhuriwa na Katibu Tawala Mkoa wa Pwani, Bi. Pili Mnyema, Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa, Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Mhe. Nickson Simon, Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Shaibu Ndemanga, Kamishna wa Ardhi, Bw. Mathew Nhonge pamoja na wataalam wengine kutoka Wizarani.