Taarifa ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum kwa Jamii Kuzingatia Sheria ya Mtoto kudhibiti Mmomonyoko wa Maadili

Sawa mheshimiwa.
Ukienda mjengoni, mkumbushe arudi jukwaani na yeye ale spana zake.
 
Mh
.hongera sana kw jitihada zako. Unaupiga mwingi ,pokea maua yako!
Pamoja najitihada zako ,nashauri Pamoja na kushughulikia na matukio( Response) Bado kuna kazi unatakiwa kuifanya ya kutengeneza ...muundo mzuri wa kitaasisi wa kushughulikia masuala haya. Hali ilivyo Sasa ,haipo sawa na haiwezi kuleta Matokeo ya haraka na endelevu !
Please restructure your machinery particularly on provision of Social Welfare Services! Utiku mwaka!
 
Ahsante Sana kwa maoni yako, tafadhali funguka tu critically eneo lipi hasa liboreshwe kwa mujibu wa muundo wa sasa? Kwa sasa, kama zilivyo wizara ingine tunafuata DXD. Lakini Sasa huku wizarani idara ya ustawi itakuwa idara huru, inafanyiwa kazi.
Karibu sana na ubarikiwe. JamiiYetuFahariYetu, maoni ya jamii chachu ya mabadiliko πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ€
 
Ahsante, Nitaandika nikutumie Mheshimiwa.
 
MUDA MREFU HUMU NILIKUWA NIKI COMMENT YA KUSEMA,TUNATENGENEZA TAIFA LA WAKATAJI MAUNO TU,NAONA SASA COMMENT YANGU IMEANZA KUELEWEKA

ova
 
MUDA MREFU HUMU NILIKUWA NIKI COMMENT YA KUSEMA,TUNATENGENEZA TAIFA LA WAKATAJI MAUNO TU,NAONA SASA COMMENT YANGU IMEANZA KUELEWEKA

ova
Kila jambo duniani kwa wakati wake, ahsante Sana kwa mchango wako. Tunasoma na kuchukua Kila komenti yenye kuleta mchango chanya kwenye safari ya maendeleo na ustawi wa jamii [emoji1241][emoji1666] ubarikiwe
 
Maelekezo yazingatiwe na hatua kali zichukuliwe baada ya hapo.
 
Haki nyingine inayotakiwa kupigiwa kelele ni ile ya watoto kupigiwa muziki wa nusu uchi na vitovu nje kwenye mabasi wanaposafiri
 
Dkt,
Ndiyo maana akina Lisu na Chadema wanakwambia katiba hii haifai, si mambo ya kisiasa tu hata family values/maadili.
Msuya (waziri mkuu mstaafu) alipenedekeza "Ammendments" kwenye katiba kusiwe na katiba mpya bali hii hii iwe inafanyiwa marekebisho, kwa sababu hakuna Katiba ambayo iko permanent haibadiriki.

Tunarudi kule kule maadili yanaanzia nyumbani, kwenye familia,
== Suala la Single mothers liangaliwe kiundani, huwezi kuwa na Nchi maskini kama Tanzania kuwa na Single mothers wanaozidi 50%.
== Ndoa za wake wengi - Kuna udhaifu hapa, ati katiba inaruhusu mila za kidini na kimila, mtu kuwa na wake hadi 10, is that freedom? Sasa hii ni freedom au weakness? Hapo na cheti cha ndoa unapewa, ati mke wa tatu au wanne! Serikali lazima iingilie hapo, duniani kote ustaarabu hufuatwa, kuwe na regulations, siyo tuaishi kama ujima. Na viongozi wote ndiyo wa kwanza kuvunja hizi seheria
== Wazazi kuwajibika na watoto wanaowazaa, kuwatunza, shule na makuzi hadi wafikapo 18(adults, suffrage etc)
== Job creation: Huwezi kutegemea family zenye maadili kwa watu ambao hawana kipato, kila kitu kigumu kukipata, hata chakula. Employment siyo government/public sector, hapana; private sector iimarishwe.
 
Walio fanikiwa kudhibiti maadili ni baadhi ya nchi za mashariki ya kati na asia
Pamoja na kutuzidi maendeleo lakini maadili kwao yanazingatiwa

Hapa kwetu wasanii mitandao ya kijamii imekuwa sababu ya maadili kuporomoka.
 
Inashangaza sana mkuu mnajua kuna nyimbo hazina maadili alafu mwaziacha tu,pigeni ban hizo nyimbo zisizo na maadaili ndo mengineyo yafuate
 
Walio fanikiwa kudhibiti maadili ni baadhi ya nchi za mashariki ya kati na asia
Pamoja na kutuzidi maendeleo lakini maadili kwao yanazingatiwa

Hapa kwetu wasanii mitandao ya kijamii imekuwa sababu ya maadili kuporomoka.
Maadili is a blurred abstract concept, it's silly parents or delegates of those events call it wedding ceremonies are dressed half naked and video clips being scattered and accessible to kids or rather children at their disposal, and very often children are part of a larger audience even if they aren't show cased in the frontier role of the events it doesn't make sense hio kitu maadili. Total confusion
 
Ahsante Sana. Nimekusoma. Kuhusu ushiriki wa sekta binafsi kwenye kuongeza ajira Iko siku kwa upande wa Maendeleo na Ustawi tutawasilisha mjadala wa mwelekeo wa sekta kwenye kuongeza ajira kupitia PPP. Shukrani sana
 
Walio fanikiwa kudhibiti maadili ni baadhi ya nchi za mashariki ya kati na asia
Pamoja na kutuzidi maendeleo lakini maadili kwao yanazingatiwa

Hapa kwetu wasanii mitandao ya kijamii imekuwa sababu ya maadili kuporomoka.
Tunamshukuru Mungu jana tulikuwa na BASATA pamoja na wadau wa Sanaa zote chini yao ambapo, tunachukua mwelekeo wa kuimarisha uratibu wa kisekta Ili sasa tuwe tunaona nani huwa hafuati sheria, miongozo, kanuni na taratibu awe anaitwa mbele ya kamati atuambie upi ni mchango wake kati ya kuchochea kujenga maadili au kubomoa. Ni wakati Sasa wa Kila mdau kusimama kwenye nafasi yake kwa maendeleo na ustawi wa jamii. Inawezekana [emoji1241][emoji1666]
 
Tutaeleza, kufafanuliana, kujadiliana mwanzo mwisho hadi tufahamu nani wapi haelewi kwa Sababu zipi. Sheria zipo wazi kabisa kuanzia sheria ya mtoto na sheria za BASATA na vyombo vingine, sijui wazazi na Walezi nao shida nn hawafuati hadi tukimbizane. Mjadala wa wazi wa jamii utatupa njia ya ziada Kamati ya sekta zote Iko kazini kuja na mpango wa haraka 21 days.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…