Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar kulaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Doha

Qatar ina kambi kubwa zaidi ya anga ya Marekani katika eneo hilo; hakuna ndege ya Israel ambayo ingeingia kwenye anga yake bila kutambuliwa.
Kila rada ndani na karibu na Al Udeid Air Base ingegundua mgomo huo, na kufanya Marekani kuhusika kutoweza kupingwa.
Hii haikuwa operesheni ya kihuni: ilikuwa ni kitendo cha kivita cha Israeli kilichofanywa chini ya mwavuli wa ulinzi wa Marekani.
Kwa kuruhusu mgomo huu, Washington imedhihirisha kuwa hadhi yake ya "mshirika" na Qatar ni ya pili kwa kukinga mkakati wa vita wa Israel.
 
ili mradi Trump yupo White House hakuna kiongozi wa Israel anayetaka suluhu na Wapalestina. Wanachotaka ni jinsi ya kuwafurukisha wapalestina waondoke wabaki wao 100%
 
You can be sure Marekani alijua
 
Hahahahaha.

Hawa qatar wameuza mechi.

Hii statement ni kujikosha tu.
 
Aisee..... Uhusiano huu ni kama ule wa Russia na Iran dhidi ya Israel 😂
 
Cheki wanaume wateule kwenye command centre MAAMAE.
 
Unaishi Kiwalani lakini kwa ujuaji Tu.
 
BREAKING –

Netanyahu says, "Israel wants peace in the Middle East"

In other news, Israel became the first country to bоmb 6 countries in a week
😅😅
Lazima uchanganyikiwe tu...solution ni Moja tu ..achia mateka
 
Israel ni taifa lenye laana. Hitler alikuwa sahihi kutaka kuwafuta kwenye uso wa dunia
 
NEW: Saudi Crown Prince MbS affirms Kingdom’s "readiness to deploy all capabilities to support Qatar" after Israeli attack on Doha.
Wewe hauwajui hao waislamu wenzio mini!!?? Hapo wanawapiga changa la macho. Taqqyya ile ile mnarudishiana wenyewe kwa wenyewe. Saudi Arabia hawawataki kuwasikia Hamas kwakuwa wanatekeleza Agenda za Muslim Brotherhood. Na Qatar ndiyo mtoa fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…