Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar kulaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Doha

Acha wapigwe maana ni Wanafiki sana
 
na qatar ilivokuwa ni kanchi kadogo akijaribu tu katasambaratishwa mara moja
 
Ni vizuri walaani tu wasiende mbele zaidi kufikiria kulipiza kisasi wataharibiwa mji wao huo unaosifika kwa maisha mazuri, wananchi watajikuta wakiishi kama waajemi.
 
Whole region? Kind of unlikely. Targeted disinvestment in the US by Qatar and other Arab countries and joining BRICS will likely be more effective. Any military attack agaisnt Israel will only help Netanyahu towards his long cherished Greater Israel project
 
We nadhani hujawaelewa wayahudi. Ukitaka kujua uwezo wa Israel reference yako iwe Iran. Marekani wanajua uwezo wa wayahudi ndo maana wameona wasiumize vichwa kupingana nao zaidi ya kuwakumbatia ili maisha yaendelee.
 
We nadhani hujawaelewa wayahudi. Ukitaka kujua uwezo wa Israel reference yako iwe Iran. Marekani wanajua uwezo wa wayahudi ndo maana wameona wasiumize vichwa kupingana nao zaidi ya kuwakumbatia ili maisha yaendelee.
Hizo propaganda za zamani Wayahudi hawana lolote msaada wa Marekani na Ulaya bila hiyo misaada hamna kitu, Israel kazoea koonea makundi tu mfano Gaza leo mwaka wa 3 sasa wanashindwa kukamata Gaza wala kuokoa mateka Gaza yenyewe Kigamboni kubwa. Angalia alichofanyiwa na Iran😅
 
Ndugu mimi nacho kiona hapa Qatar na nchi zote za kiarabu wamehusika hapo vipi ndege zitoke Israel mpaa Doha bila kuwa refuel zimepita wapi hizo ndege kama si nchi za kiarabu. Nchi za kiarabu wanaona Missiles na drones za Al Houthi na Iran wasione ndege za Israel. Inasemekana ndege za US zilihusika na wengine wanasema zilihusika ku refuel hizo ndege za Israel na zilitokea hapo hapo Qatar kwenye base ya USA. Siku zote nawambia hawa viongozi wa kiarabu wameisha uza hizo nchi zao wataishia kulalamika tu. Israel hawezi kusubutu kufanya hayo kama Viongozi wa kiarabu wako seriously.
 
 
Inasikitisha sana, huu ni udhalilishaji uliokithiri sawa na mtu aje kwake na aamchukue mke kibabe wako wakati una ona na huwezi kufanya chochote.

KIlichotokea Qatar ni wazi kuwa hayo ni madharau ya wazi , pamoja na Madhaifu yake Gamal AbdulNasser namkubali sana ni kiongozi ambaye hapendi madharau alikata mkataba wa Suez na akaruka nazo nchi Tatu Suez War Kisha baadae Marekani kuingilia vita ikaisha Vilevile alikuwa muda mwingi anajioanga kukiwasha na kuonyesha udhubutu japo alizungukwa na wasaliti.
 
US anajua fika kuwa Israel itashambulia hili ni uhakika kabisa. Qatar wako mfukoni Kwa US, wale masheikh wote wako mfukoni Kwa US.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…