Israel na Pakistan 🇵🇰 zilichuana vikali katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya Israel kuitaja Pakistan mara kwa mara kwa jina:
Pakistan inaishutumu Israel, inasema ni "mkaaji anayejifanya kuwa mwathirika, anayekiuka maazimio ya Umoja wa Mataifa na kufanya ugaidi wa serikali huko Gaza".
Pakistani inaendelea kusema, "Hatuwezi kukubali kisingizio kutoka kwa dola mbovu isiyowajibika ambayo kwa hakika, ni muasisi wa aina mbaya zaidi ya ugaidi wa serikali ambayo tunashuhudia huko Gaza na, kwa kweli, katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa miongo kadhaa."
Sasa hivi kila nchi ipo uhuru kuokosoa Israel zamani ulikuwa huwezi kuona nchi yeyote ikiisema vibaya Israel.