Taarifa ya Yanga kuhusu Tambwe iliandikwa tarehe 4 Januari

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
145699259_1643572432511682_4492304170284498634_n.jpg

Utopolo next level
 
Nataka nijue ni tayari ramsi yanga imefungiwa kusajili au bado?
 
Hawa manyani ko muwazoee. Press release ya Jana tarehe ya leo.
Leo ni tarehe 4 mwezi wa 2 nyani huna akili kabsa wewe, bango lenu limeandikwa 4/01/2021!
 
Hatua za haraka walizochukua ndio kufungiwa miaka mitatu kusajili, bado Zahera nae ataenda FIFA ngoja kwanza hiyo mitatu ya Tambwe iishe, halafu atatafutwa na mwingine, Madeni FC wamekuwa kero mjini.

GSM toa pesa.
 
Leo ni tarehe 4 mwezi wa 2 nyani huna akili kabsa wewe, bango lenu limeandikwa 4/01/2021!
Umeandika nini sasa, ujaona press release wameitoa jana afu inaonesha imeandikwa trh 4
 
Mashabiki wanao amini ushindi wa uwanjani unapatikana kupitia MAPAKA SHUME wanafurahia kweli! Wamesahau wana deni la dola laki 2 za Kichuya!!

Si ni tumilioni 44 tu!! Hiyo kwa Wananchi ni hela ya mboga tu!! Tunasubiri Viongozi wetu watoe mwongozo kwanza. Mbona kila Mwananchi akitoa buku, timu inapata bilioni kadhaa. Kama tuliibeba timu yetu wakati ule, tutashindwaje wakati huu?
 
Payroll huna akili au huna macho?? Poster imeandikwa tarehe 4/01/2021 Leo ni tarehe 04/02/2021, umeelewa SASA??
Umeandika nini sasa, ujaona press release wameitoa jana afu inaonesha imeandikwa trh 4
 
Badala ya kumwambia mo atoe b20 umekazana fedha ya Tambwe sasa amelipwa na usajili upo palepale sijui kwanini Bodaboda/Mbumbumbu/Mipaka wana akili nzito isiyochambua mambo ndio maana hata uwanja mnaodai ni umeandikwa Mo Arena hamna chenu pale shauri ya umbumbumbu wenu
 
Tambwe Fc,Nyani Fc,Mbwa FC,Utopolo Fc. Unateseka ukiwa sehemu gani ya Nchi?
 
Badala ya kumwambia mo atoe b20 umekazana fedha ya Tambwe sasa amelipwa na usajili upo palepale sijui kwanini Bodaboda/Mbumbumbu/Mipaka wana akili nzito isiyochambua mambo ndio maana hata uwanja mnaodai ni umeandikwa Mo Arena hamna chenu pale shauri ya umbumbumbu wenu
Atoe Bil 20 ya nini? Akae nayo tu.anayoyafanya simba kwa sasa ni makubwa sana. Mi nadhani apewe tu team.
 
Badala ya kumwambia mo atoe b20 umekazana fedha ya Tambwe sasa amelipwa na usajili upo palepale sijui kwanini Bodaboda/Mbumbumbu/Mipaka wana akili nzito isiyochambua mambo ndio maana hata uwanja mnaodai ni umeandikwa Mo Arena hamna chenu pale shauri ya umbumbumbu wenu
akitoa 20b nyie uto baby mtapata ngapi
 
Mashabiki wanao amini ushindi wa uwanjani unapatikana kupitia MAPAKA SHUME wanafurahia kweli! Wamesahau wana deni la dola laki 2 za Kichuya!!

Si ni tumilioni 44 tu!! Hiyo kwa Wananchi ni hela ya mboga tu!! Tunasubiri Viongozi wetu watoe mwongozo kwanza. Mbona kila Mwananchi akitoa buku, timu inapata bilioni kadhaa. Kama tuliibeba timu yetu wakati ule, tutashindwaje wakati huu?
Yetu macho.
Hapa hatujajua Mwinyi Zahera atuchukua maamuzi gani.
Mwaka huu mpaka FIFA mtawaambia wanaibeba Simba
FB_IMG_1612413068819.jpg
 
Manyani kwa sababu ni uneducated hawataelewa
Mbumbumbu+ hizo ni typing error kea kuwa hata Shule kwako ni shida basi unaona shida. Mbona ninyi Hilo bangor jana mmebndika wachezaji 10? Je Jana mechi na Dodoma mlianza na wachezaji 10?
JamiiForums1545554816.jpg
 
Back
Top Bottom