Taarifa Yah. Babu Dc , kumalizilika muda.

Taarifa Yah. Babu Dc , kumalizilika muda.

acha udikteta wewe asprin.

Yaani kile kifaa anachotumia kukagulia kingekua kina mfano wa kifutio cha penseli , kingekua kifuto kimeisha na kile kinobu cha kibati kinachozunguka juu ya pencil ku'hold hicho kifuto chenyewe nacho kingekua kimeshang'oka !
 
Hahah unanchekesha. Source: Faiza Foxy. Kama unavochemka kumwita mpenzi badala ya mwanao.... Hahaha!....Chezeya ODM weye? Multiple ID bana, utamtambuaje?
hubby nini kinaendelea hapa??
 
rudisha ile avatar yako mkuu,
au umechoka kupakata.

Hahah unanchekesha. Source: Faiza Foxy. Kama unavochemka kumwita mpenzi badala ya mwanao.... Hahaha!....Chezeya ODM weye? Multiple ID bana, utamtambuaje?
 
wa kwangu ndo huo,
sasa kwa kuwa roho yako umeigawa vipande vipande kuanzia 6 hadi kumi hivi
ngoja nione hao wengine.

Ntakuwa tayari kufuata ushauri wako mkuu. Hebu nishauri.
 
Wee kibabu hujambo???
Kavae basi?
Ushauri wako ntaufanyia kazi. ngoja nimalize haya makitu.

attachment.php
 
@Aspirin bwana, yaani kitendo cha kuambiwa muda wako umekwisha ndio umeamua kuwatisha watu hapa! Eit jeneneke

mama yangu! Jeneneke achana na huyu, twende tukamtumikie Bwana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom