Impactinglife
Member
- Apr 15, 2019
- 41
- 99
Za ndani kabisa imefichuka kuwa Kuna Kila Dalili ya makundi matatu yenye nguvu kuungana na kupinga mwenyekiti aliyepo madarakani kugombea URAIS tena 2025. Lengo lao ni kuvunja matabaka na tofauti zao na kumsimamisha mtu mmoja ambaye ni mgeni ndani ya chama.
Na hili Ili litokee wameandaa watu watatu wa kujitoa mhanga Kudai nao wanataka URAIS mmoja wapo ni yule aliyesimama Jana Kudai MAFANIKIO YA ILANI YA CHAMA yajadiliwe mwenyekiti na viongozi wa kuu wa chama wakiwa wametoka nje ya ukumbi Ili kutoa nafasi ya watu kutoa hoja zao Kwa uhuru.
Pili Ili ku counterpart mashambulizi team ya mwenyekiti imesukwa kumnadi na kutaka mkutano huu utoke na jina la mgombea URAIS 2025 na haya yote tutashuhudia praise team ikiimba Kila wimbo leo.
KUMEANZA KUCHANGAMKA.... MPIRA UPO KATI.