SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kauli ya kishangazi hii nakupuuza tu.Mtatokwa na nnya mwaka maamamamamamae, pambaneni na Hali yenu huko. Michuki yenu inazidi kumpaisha siku baada ya siku.......Kila anachokigusa Sasa kinageuka kuwa dhahabu.
Hivi mtaalam VUTA NIKUVUTE alipotelea wapi na zile taarifa zake? Tumemiss sana ile alivyokuwa akihitimisha, leo angesema Mkutanoni Dodoma!Za ndani kabisa imefichuka kuwa Kuna Kila Dalili ya makundi matatu yenye nguvu kuungana na kupinga mwenyekiti aliyepo madarakani kugombea URAIS tena 2025. Lengo lao ni kuvunja matabaka na tofauti zao na kumsimamisha mtu mmoja ambaye ni mgeni ndani ya chama.
Na hili Ili litokee wameandaa watu watatu wa kujitoa mhanga Kudai nao wanataka URAIS mmoja wapo ni yule aliyesimama Jana Kudai MAFANIKIO YA ILANI YA CHAMA yajadiliwe mwenyekiti na viongozi wa kuu wa chama wakiwa wametoka nje ya ukumbi Ili kutoa nafasi ya watu kutoa hoja zao Kwa uhuru.
Pili Ili ku counterpart mashambulizi team ya mwenyekiti imesukwa kumnadi na kutaka mkutano huu utoke na jina la mgombea URAIS 2025 na haya yote tutashuhudia praise team ikiimba Kila wimbo leo.
KUMEANZA KUCHANGAMKA.... MPIRA UPO KATI.
Limepita TayariHili nalo litapitaaa..
maccm hayana akiliYaani wanaume wanamgwaya mwanamke wa kutoka nchi jirani ya Zanzibar hakika CCM ni adui wa Watanganyika
Mi mbona nilishakupuuza wewe kitambo tu baada ya kugundua kuwa umeleft groupKauli ya kishangazi hii nakupuuza tu.
Mwaka huu si kife tuZa ndani kabisa imefichuka kuwa Kuna Kila Dalili ya makundi matatu yenye nguvu kuungana na kupinga mwenyekiti aliyepo madarakani kugombea URAIS tena 2025. Lengo lao ni kuvunja matabaka na tofauti zao na kumsimamisha mtu mmoja ambaye ni mgeni ndani ya chama.