Taarifa za kikachero kuhusu viongozi wa TAA

Taarifa za kikachero kuhusu viongozi wa TAA

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: TANGANYIKA INTELLIGENCE SUMMARY 1954

Soma taarifa ya kikachero ya Special Branch.

Hii ni kwa hisani ya Francis Daud.

Hiyo ni Tanganyika Intelligence Summary taarifa za Special Branch.

Ziko Rhodes House Oxford.

Baada ya miaka 50 wanaweka wazi mafaili yao.

Alexander Tobias alikuwa kachero wa Waingereza ndani ya TAA.

Walimgundua wakamfukuza kazi

Screenshot_20211209-061613_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom