DOKEZO Taarifa za kiuchunguzi kwenda Wizara ya Kilimo na Wizara ya Mifugo juu ya Ukaribishaji wa Jangwa na Njaa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tanzania itakuwa jangwa miaka michache ijayo na hakuna anayejali
 
Mbona huku njombe na iringa tumeipanda karne ya pili sasa na hatuoni shida yake
 
Nakubaliana na wewe lakini Tanzania bado ina ardhi kubwa sana yenye rutuba. Ni vile tu tunalima kimaskini lakini mkoa mmoja tu kama vile Morogoro unatosha kuilisha nchi nzima hii. Ukraine ni ndogo kuliko Tanzania lakini inalisha dunia nzima. Sidhani kama hicho kilimo cha mkonge na miti ni tishio kiasi hicho ilhali bado kuna mapori kibao hayajaguswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…