Second hand
Member
- Jan 20, 2013
- 72
- 6
Mambo zenu! Wanajamvi...Naomba mnijuze: hivi utajuaje kama umechaguliwa chuo fulani? kama ni kwa njia ya email; vp email yangu imefungwa au nimesahau password? NAOMBA MNIJUZE MNITOE WASIWASI!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utatumiwa kwa tigopesa....
Mambo yakiwa tayari utaona moja kwa moja kwenye plofile yako
Halaf hiz habari za tcu jamaniii.. Chek msg niliyotumiwa leo..
Admission za vyuo vikuu zimetoka, pls visit Home - Tanzania Commission for Universities, fungua link sehem na news imeandikwa "list of tcu selected students for bachelor degree programes. 2013/2014" ujumbe huu mtumie na mwenzako!...
Kuna mwngne katumiwa kama mimi? Maana sasa nimechoka
Mi nmetumiwa
Nafikir muda unavyozid kwenda itatumwa kwa wengi
cjui nan anayefanya huu ujinga wa ku2nga sms kama hiyo
kuwa sil_ass..nani wa manchester united au...??
kuwa sil_ass..
Kwann ni uzembe wake ?
utatumiwa kwa tigopesa....[/QUdah! We jamaa noumer tigo pesa!