halaf hiz habari za tcu jamaniii.. Chek msg niliyotumiwa leo..
Admission za vyuo vikuu zimetoka, pls visit home - tanzania commission for universities, fungua link sehem na news imeandikwa "list of tcu selected students for bachelor degree programes. 2013/2014" ujumbe huu mtumie na mwenzako!...
Kuna mwngne katumiwa kama mimi? Maana sasa nimechoka
biashara ya watu hiyo kaka!sms1=54tsh