Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Umekosea kutoa maelezo yako. Uboreshaji ni jukumu la serikali. Labda Kikubwa cha kujiuliza leo, hosp yetu hii inaaminiwa kutibu mkamanda wetu hawa? Kwa nini chama kisifanye mpango kumpeleka Nairobi?Hospitali ya Muhimbili imeboreshwa sana na jemedari wetu rais wa mfano duniani Dk Magufuli.
Bila shaka prof Baregu atapata huduma bora kabisa na akitoka hapo atakuwa balozi mwema wa juhudi za rais Magufuli katika kuboresha maisha ya watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app