Taarifa za kuugua kwa Prof. Mwesiga Baregu

Umekosea kutoa maelezo yako. Uboreshaji ni jukumu la serikali. Labda Kikubwa cha kujiuliza leo, hosp yetu hii inaaminiwa kutibu mkamanda wetu hawa? Kwa nini chama kisifanye mpango kumpeleka Nairobi?
 
Prof ugua pole. Mungu atakuponya mapema tuendelee kuipigania demokrasia ya kweli Tanzania na Afrika.
 
Maombi yetu ni Mungu wetu mwenye huruma umjalie afya njema Prof. Baregu ili aendelee kuwa na wanafamilia wake na sisi sote.
 
Kwani hizo pesa alikuwa anazitoa mfukoni mwake au ni KODI ya watanzania wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…