Taarifa za miili 3 kuokotwa eneo alilotupwa Mzee Kibao ni kweli? Imeshatambuliwa ni akina nani?

Taarifa za miili 3 kuokotwa eneo alilotupwa Mzee Kibao ni kweli? Imeshatambuliwa ni akina nani?

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
  1. Je ni kweli kuna miili mingine mitatu iliokotwa sambamba na marehemu Kibao?
  2. Kama ni kweli, kwa nini polisi haitoi taarifa kuhusu kupatikana miili hiyo?
Watanzania mlioko nyumbani, nendeni hospitali ya Mwananyamala kufuatilia hili suala. Iwapo miili hiyo ipo, DNA zichukuliwe kutambua next kin kwa kuwahusisha wale vijana akina Soka.

Soon miili inaweza kuhamishwa ama kuzikwa as unadentified bodies.

Code with uncoded.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
 
Your heading asks "miili mitatu iliyookotwa imeweza kutambuliwa????"
Alaf kwenye content unauliza kama ni kweli????😅😅😅😅😅😅
 
Your heading asks "miili mitatu iliyookotwa imeweza kutambuliwa????"
Alaf kwenye content unauliza kama ni kweli????😅😅😅😅😅😅
Inafurahisha yes.
Lakini nimeandika kwa usahihi wa ufahamu wangu mdogo
 
My point was hakikisha your information kabla!!!!!
Unaweza ukawa unapotosha watu....Kila mtu ana ufahamu wake wa kuinterpret vitu mkuu
Akili kubwa umeshindwa kung'amua
Very sad
 
Back
Top Bottom