Je ni kweli kuna miili mingine mitatu iliokotwa sambamba na marehemu Kibao?
Kama ni kweli, kwa nini polisi haitoi taarifa kuhusu kupatikana miili hiyo?
Watanzania mlioko nyumbani, nendeni hospitali ya Mwananyamala kufuatilia hili suala. Iwapo miili hiyo ipo, DNA zichukuliwe kutambua next kin kwa kuwahusisha wale vijana akina Soka.
Soon miili inaweza kuhamishwa ama kuzikwa as unadentified bodies.