Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

Serikali yetu kazi ni kukamua kodi bila kujali hao wajasiriamali wanapataje mitaji yao, banking industry ya Tz ni wizi na unyonyaji tu.Serikali ya kenya inalazimisha benki kushusha viwango vya riba kiasi kwamba banking industry ya Kenya inafikiria kuwa na single digit kwenye riba, Mfano nafanya kazi na kenyan company, but most of kenyans staffs wanachukua personal loans kupitia kenya sababu kule loans is cheap, mfano makato ya 320,000/ hapa kwa mkopo wa 10m kenya same makato you get over 13m.
 

Kama bado unahitaji mkopo ni pm namba yako ntakupatia , uwe na biashara yenye vibali na dhamana
 
Ah mikopo ni muhm ktk kuendelea,ila interest ni kubwa mno so itakuw powa mwenye taarifa za penye rate ndogo atujuze!!!
 
Nilichukuwa NMB mkopo wa biashara wa mwaka mmoja sh 300000 napaswa kurudisha 3404000 ambapo kila mwezi napeleka 283,000.

Asset ni hati mauziano ya eneo kwa wataalamu wa calculation wanaweza kujua hapo ni % ngapi.
 
Nilichukuwa NMB mkopo wa biashara wa mwaka mmoja sh 300,000 napaswa kurudisha 3,404,000 ambapo kila mwezi napeleka 283,000.

Asset ni hati mauziano ya eneo kwa wataalamu wa calculation wanaweza kujua hapo ni % ngapi.

Naomba urekebishe figure zako mkuu. Haiwezekani uchukue laki 3 halafu ulipe zaidi ya milioni 3.
 

Ni kweli Kabembe,

Bank zetu zunatumia udhaifu wa serikali na wadau wenyewe (wakopaji) kuwaibia wateja. Ndiyo mana ulipaji wa mikopo wakati mwingine unakuwa mgogoro sana kwani baadhi ya wakopaji wanafirisika!
 
Last edited by a moderator:
So finca hawana masharti ya hati ya kiwanja au nyumba??? Naomba maelezo zaidu kuhusu finca wadau
 
dar es salaam stock exchanje nami ninaweza kufaidika nayo kama mdau ana ufahamu na hili anijuze
 
10. Stanbic wanatoa mikopo ya biashara pia...interest rates zao ni 21% na matakwa mengine ni kama kwa banks nyingine (hati ya nyumba, leseni ya biashara, audited accounts etc)!! Hawa nao wanatoa overdraft facilities!


Stanbic-Mwanza branch ni 30%
 
AECF REACT R3 COMPETITION

Eligibility Criteria


You must meet all of the following criteria for your application to be considered:


Your company is a private for - profit company, partnership or sole trader.

The total funds requested from the AECF must be at least US$ 250,000 and no more than US$1,500,000

Your company (including 3rd parties such as co-investors or banks and other lenders) is providing matching funds of at least 50% of the total cost of the business idea i.e. at least as much as the funds requested from the AECF

The funding request is for a specific , new and innovative business idea in renewable energy, adaptation to climate technologies and financial service
s and solutions in support of these, or a combination of the above

The business idea will be implemented in any one or more of the East African Community
countries: Burundi, Kenya, Rwanda, Tanzania and Uganda

You must demonstrate that the project will have a development impact in rural areas of the countries concerned, that the project will contribute to environmental sustainability, including environmental and climate change aspects.

Your company must demonstrate "additionality" i.e. that the project would not go ahead without AECF funding or that, if it would go ahead anyway, it would be at a much reduced pace or scale. All these eligibility criteria are contained in the application form.
The following points are also important for your application:

(1)
New businesses (start-ups) may be considered by REACT R3. However, the businesses must provide strong evidence that the new company has credible and experienced investors and demonstrable capacity to implement the project.

(2)
Your company may partner with other organizations, including NGOs and Community organizations. However it is a condition that the lead applicant and implementer of the business idea must always be a commercial company/business. Partnerships, cooperatives and sole traders are also eligible.

(3)
The AECF aims to achieve significant leverage on its funds. Applications where companies provide a higher percentage (>50%) of total project funding from their own resources (including 3rd party investments or loans) will, all other things being equal, be treated more favourably. Applications where the greater proportion of funds requested as repayable grant rather than grant will similarly be treated more favourably.
 
[h=1]Apply / Submit[/h]To apply to REACT, you need to register your business by providing your contact details, some information about your company and a valid email address. During the registration process, you must also read and accept the AECF Terms and Conditions that are standard for all AECF competitions.

Once you are registered, you will be able to download the REACT application form template and the guidance notes to help you fill in the application form.

The window for receiving applications will be open from July 15th 2014 to 23rd October 2014.

CLICK HERE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…