Kennedy Shirima
Member
- Jun 3, 2014
- 24
- 1
Ni pm nami mkuu nataka mkopo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimezunguuka kama benk nne ila kutokana na muundo wa biashara yangu benk zote nimeka mkopo sijaelewa kwa nini awajaweka mikopo ya aina hii.hata kama una unadhamini wauwakika(NYUMBA) labda bwana MZUZU utujuze kwa TIB. Ninaotoa bidhaa na kushusha kwenye godauni au kufikisha kwa madalali.
Nilichukuwa NMB mkopo wa biashara wa mwaka mmoja sh 300,000 napaswa kurudisha 3,404,000 ambapo kila mwezi napeleka 283,000.
Asset ni hati mauziano ya eneo kwa wataalamu wa calculation wanaweza kujua hapo ni % ngapi.
Serikali yetu kazi ni kukamua kodi bila kujali hao wajasiriamali wanapataje mitaji yao, banking industry ya Tz ni wizi na unyonyaji tu.Serikali ya kenya inalazimisha benki kushusha viwango vya riba kiasi kwamba banking industry ya Kenya inafikiria kuwa na single digit kwenye riba, Mfano nafanya kazi na kenyan company, but most of kenyans staffs wanachukua personal loans kupitia kenya sababu kule loans is cheap, mfano makato ya 320,000/ hapa kwa mkopo wa 10m kenya same makato you get over 13m.
Naomba urekebishe figure zako mkuu. Haiwezekani uchukue laki 3 halafu ulipe zaidi ya milioni 3.
Wana jf pia Crdb bank wanatoa mikopo kwa wajasiliamali wote wenye biashara