Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

Asante sana kwa taarifa, nitaifuatilia.
 
Tafadhali ninaomba taarifa za mikopo kutoka benki ya Advance, nimesikia kuwa hawana mambo meeengiiii. Msaada please.:cool2:
 
Tafadhali ninaomba taarifa za mikopo kutoka benki ya Advance, nimesikia kuwa hawana mambo meeengiiii. Msaada please.:cool2:

Nimejaribu kupitia kwenye website yao

Nimekutana na maelezo haya kuhusu mikopo,

Advans Bank Tanzania offers easily accessible business loans ranging from Tzs 200,000 up to Tzs 150,000,000 with flexible guarantees. The loan application process is quick and easy with an answer in maximum 15 days but often faster.

Na matawi yao ni hayo hapo,

Jarb kuitembelea AccessBank ni wazuri pia. Mikopo yao ni kwa wajasiliamari kuanzia 100,000 to 25,000,000 kwa mteja mpya. Na collateral items ni vtu vya ndani na biashara. Mikopo waweza toa ndan ya siku tatu tuu
 
Eti vipi kuhusu hawa BancABC mtawazungumziaje kuhusu mikopo yao?
 
Access hawafai hao riba zao kubwa sana na usiwadanganye watu kuwa collateral ni vitu vya ndani na biashara tu labda kama ni mkopo wa laki 5! riba ni 4.5% per month . Advance pia hawafai riba 5% wasumbufu sana .
Bank ya posta na NMB ndo mpango mzima kwa wajasiliamali wadogo.
 
safi sana! pia kwa micro finance institutions wanatoa riba kati ya 8-25% kwa mwezi! ila collateral ni muhimi kama kadi ya gari!
 
Eti vipi kuhusu hawa BancABC mtawazungumziaje kuhusu mikopo yao?
 
Dark City vipi kuhusu bank ya posta? sijaona mnaiongelea humu!
 
Last edited by a moderator:

hapo kwenye bank ya posta fafanua kidogo mkuu riba zao zikoje? na masharti yao ya mkopo yako vipi?
 
Nina eka kumi ya miti ya mbao ya mwaka mmoja na nina hati miliki ya kimila je naweza kupata mkopo nmb au crdb.
 
Nina eka kumi ya miti ya mbao ya mwaka mmoja na nina hati miliki ya kimila je naweza kupata mkopo nmb au crdb.

Hati miliki ya kimila ni ngumu kukubalika bank. Hata hivyo, nenda kaongee nao.
 
Jaman jiungen na vicoba endelevu muweze kupata mkopo wa riba ndogo kabisa ya 10% kuliko kulalamika weee
Naomba msaada wa kupata ukweli kuhusu FOCUS VICOBA, kama ni ipo na inatoa mikopo kweli kama wanavyo pambanua katika link hii www.focusvicoba-tanzania.wapka.mobi. Nimechelea kujiunga ili nipate uhakika kwa mnaojua.
 
Hawa wajamaa wa TIB naona kama wako vyema vp namna ya kuwapata
 
Nitawpataje hawa wa TIB naona kama wananhusu
 
Jaribu J Mall Samora Avenue au uliza maeneo ya katikati ya mji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…