Success001
Member
- Mar 19, 2015
- 6
- 2
..hizo taarifa sio kweli Riba ya CRDB Bank si kubwa kiasi hicho na hawana masharti magumu kabisa. Nimechukua mikopo mara nyingi ni riba nafuu na bila masharti magumu. Watu wawe wanaongea ukweli jamani2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaifahamu vema na Huduma zake nisaidie haya nataka chukua mkopo was kumalizia nyumba:-FNB ipo poa.
Hiyo bank ya waislam kama nataka kununua basi kwa ajili ya daladala wananinulia? na faida ndio tunagawana sio au? wadau kama mpo!
basi watakununulia, hamgawani faida ila ukishachagua basi wanakulipia then watakuuzia tena kwa faida kidogo ambayo utakuwa unalipia kidogo kidogo kwa muda mlokubaliana, up to 5 yrs.
Ukipewa pesa laki moja ukiambiwa urudishe laki na nusuNaomba unisaidie maelezo kidogo juu ya faida. Wanakuuzia tena wao vifaa? Naomba ufafanuzu.
Mkuu nishachopoka FNB nimekimbilia Barclays... Njoo alimradi uwe mfanyakazi na huna record mbaya za kukwepa Mikopo...Kama unaifahamu vema na Huduma zake nisaidie haya nataka chukua mkopo was kumalizia nyumba:-
1. Wanasema wanaweza kuchukua mkopo wako kutoka benk nyingine, hili linakuwaje.
2. Riba yao ikoje,
Mkuu nishachopoka FNB nimekimbilia Barclays... Njoo alimradi uwe mfanyakazi na huna record mbaya za kukwepa Mikopo...
Private financing is the best option for you friends.Msidanganyike.Inawezekana kabisa kwamba uko kwenye biashara hapa,or if you wish uko kwenye mchezo wa madogori kama unaujua na siajabu umetumwa!Naomba wadau wa jukwaa hili tusaidiane kuweka taarifa muhimu za kibenki ili ziwasaidie wadau wanaohitaji mikopo midogo midogo na ile ya kati kwa ajili kuendesha biashara. Natamani tungekuwa na business directory ila sijui kama ipo ....(wenye taarifa watatusaidia).
Nimeweza kukusanya hizi taarifa na naomba wadau muongeze kile mnachokijua,
1. CRDB Bank Ltd...Mikopo midogo midogo (may be 1-20 mil), interest rate (with insurance) ni 20%, na lazima mtu awe na hati ya kiwanja au nyumba
2. FINCA .....Nimepata taarifa kuwa mtu akikopa 15mil anatakiwa kurudisha 1.7mil kwa mwezi ambayo inatupa interest ya 33.3%
3. NBM.....Kuna mtu kachukua loan ya 30mil ambayo atailipa kwa miaka 4; interest + other charges imefikia 12mil (40%)
........Nimepata taarifa za NMB kwamba small loans (100K-5mil) interest rates in 24% (2% per month)
4. TIB (Tanzania investment Bank)...Wanatoa mikopo ya kati na mikubwa...Nasikia wanaanzia USD 150K
5. SACCOS...SACCOS ambayo mie ni mwanachama inatoza 13% ila wanatoa pesa ndogo ndogo (1-10mil) na lazima ukae kwenye queue kwa karibu miezi 6!
7. NBC...Wanatoa mikopo kwa riba ya 20-24% ila iko based on overdraft. Unatakiwa kuwa na hati ya nyumba au dhamana nyingine. Kwa ujumla nimependa package yao ingawa riba bado iko juu sana!!
8. Exim wanatoa mikopo ya biashara kwa riba ya 19%. Unaweza kuchukua zote au kwa overdraft!!
9. Barclays bank wanatoa mikopo ya kati na mikubwa tu (>50mil). Interest yao ni 25%.
10. Stanbic wanatoa mikopo ya biashara pia...interest rates zao ni 21% na matakwa mengine ni kama kwa banks nyingine (hati ya nyumba, leseni ya biashara, audited accounts etc)!! Hawa nao wanatoa overdraft facilities!
11. Kenya Commercial Bank (KBC)....wana mikopo ya biashara kuwanzia 10mil na interest rates zao ni 19%. Masharti mengine ni kama banks nyingine na wanakubali overdraft..Ila sikuweza kupata details za interest rates per month kwenye overdraft!
12. Equity Bank....Inasemekana watakuwa na masharti nafuu ila bado hawajaanza kufanya biashara rasmi. Tutazidi kuwafuatilia!
Mwenye taarifa zaidi atuwekee hapa ili tuweza ku-update hii page ili iwasadie wale wanaohitaji mikopo ili wajikwamue!
Babu DC!!
Updates
Important information (TIB)
Equity Bank
CRDB ni benki ya hovyo kabisaHumu inaelekea staff wa crdb ni wengi sanaa
Basi sawaNilitembelea nchini Marekani karibuni nchi ambayo miaka michache nilikuwa nakula vitabu vyao. Kwa udadisi tu niliamua kwenda bank kuulizia wanafanyeje ukopeshaji wa pesa. Niliambiwa mkopo wa secured money ni free under one year period. Zaidi ya mwaka wanaanza charge kidogo za riba lakini haizidi 3%. Lakini bank za bongo ni mtindo mmoja tu kana kwamba unawekeza rehani ya nyumba.
NIliporudi kuwaeleza maofisa wa bank fulani (jina kapuni) waliniambia wao wakati mwingine wakakopa pesa huko majuu ndio maana riba huwa juu sana ili kufidia kotekote. Hoja hii haijaniingia vizuri katika mikopo ya mabeni kwa mabenki kimabara.
equity bank wako vizuri sana hawana masharti ya ajabu ajabu kama benk za kibongo wafanyakazi wao hawahitaji 10% kama benk za kibongo wako fasta huduma bora hawana mambo mengi ribandogo mno mm walinipa mkopo in 1week tu na riba yao ni 150,000 kwa 1.2mNaomba wadau wa jukwaa hili tusaidiane kuweka taarifa muhimu za kibenki ili ziwasaidie wadau wanaohitaji mikopo midogo midogo na ile ya kati kwa ajili kuendesha biashara. Natamani tungekuwa na business directory ila sijui kama ipo ....(wenye taarifa watatusaidia).