Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

..hizo taarifa sio kweli Riba ya CRDB Bank si kubwa kiasi hicho na hawana masharti magumu kabisa. Nimechukua mikopo mara nyingi ni riba nafuu na bila masharti magumu. Watu wawe wanaongea ukweli jamani2
 
Mbona mnaitete crdb halafu hamtoi fact.crdb bank yangu lakin kaa hata bank stat ya mwezi m1 unalpia
 
Samahanini wana jukwaa naomba kuuliza kwamba kati ya jiji la mwanza na arusha ni wapi unaweza kupata laptop mpya kwa bei nzuri
 
FNB ipo poa.

Hiyo bank ya waislam kama nataka kununua basi kwa ajili ya daladala wananinulia? na faida ndio tunagawana sio au? wadau kama mpo!
Kama unaifahamu vema na Huduma zake nisaidie haya nataka chukua mkopo was kumalizia nyumba:-
1. Wanasema wanaweza kuchukua mkopo wako kutoka benk nyingine, hili linakuwaje.
2. Riba yao ikoje,
 
basi watakununulia, hamgawani faida ila ukishachagua basi wanakulipia then watakuuzia tena kwa faida kidogo ambayo utakuwa unalipia kidogo kidogo kwa muda mlokubaliana, up to 5 yrs.

Naomba unisaidie maelezo kidogo juu ya faida. Wanakuuzia tena wao vifaa? Naomba ufafanuzu.
 
Naomba unisaidie maelezo kidogo juu ya faida. Wanakuuzia tena wao vifaa? Naomba ufafanuzu.
Ukipewa pesa laki moja ukiambiwa urudishe laki na nusu

Hii ni riba kwa taratibu za kiislam ni makosa tena ni katika madhambi makubwa kwao

Lakin wamehalalishiwa biashara nayo

Inakuwa katika utaratibu huu unataka gari wanakulipia wao kisha utaongeza kidogo katika malipo mtakayokubaliana hiii ni biashara na sio riba

Hawatoi pesa kwa kisha urudishe pesa

Bali wanakupesha vitu Pikipiki gari vifaa vya ujenzi nk

Kisha unarejesha pesa
 
Kama unaifahamu vema na Huduma zake nisaidie haya nataka chukua mkopo was kumalizia nyumba:-
1. Wanasema wanaweza kuchukua mkopo wako kutoka benk nyingine, hili linakuwaje.
2. Riba yao ikoje,
Mkuu nishachopoka FNB nimekimbilia Barclays... Njoo alimradi uwe mfanyakazi na huna record mbaya za kukwepa Mikopo...
 
Mkuu nishachopoka FNB nimekimbilia Barclays... Njoo alimradi uwe mfanyakazi na huna record mbaya za kukwepa Mikopo...

Thanks, tafadhali nijuze kwanza, FNB ni riba yao ikoje
Hili suala la kuchukua mkopo wako kutoka benki nyingine unalifahamu

Je, riba ya benki ya barclays ikoje?
 
Private financing is the best option for you friends.Msidanganyike.Inawezekana kabisa kwamba uko kwenye biashara hapa,or if you wish uko kwenye mchezo wa madogori kama unaujua na siajabu umetumwa!

Hata hivyo wataalam wa uchumi ambao sio fake wanajua kwamba a country which either itself or its citizens live on debt eventually collapses.Debt is an Illuminati conspiracy on humans.

Google www.trueconspiracies.com. or "True Conspiracies,The Illuminati and The One World Government" if you wish to get more information and a clearer picture on the issue of debt and other issues.This is a must read if you are seeking for the "truth" about this terrible debt menace and conspiracy which has been inflicted on humanity.You will never remain the same.

Mikopo ni utapeli wa Bankers,watu makini wanajua.
Mikopo ni janga la taifa na dunia.
 
Samahani wadau naomba kujuzwa riba za mikopo za haya makampuni kama faidika na platinum. na masharti yao tafadhali
 
Basi sawa
 
equity bank wako vizuri sana hawana masharti ya ajabu ajabu kama benk za kibongo wafanyakazi wao hawahitaji 10% kama benk za kibongo wako fasta huduma bora hawana mambo mengi ribandogo mno mm walinipa mkopo in 1week tu na riba yao ni 150,000 kwa 1.2m
 
Nahitaji mkopp mdogo wa tsh 25000 nataka kuanzisha biadhara ndogo ndogo
Lengo ni kujikwamua na hali yangu ya maisha
Nina plan ya kuanzisha biashara ya kununua vitu vidogo vidogo kama saa,memory card na kuviuza ndugu zangu
Nilitaka kukopa branch, au l pesa but shida ni kuwa nilipoteza kitambulisho cha mpiga kura na sijui nitafanyaje hivi wakuu naweza kusajili kitambulisho kingine kwa sasa kwasabab nakosa mengi mno

Nitasonga mbele naamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…