Wana dirisha maalum la kilimo ambalo linatumia pesa ya ruzuku ya serikali na riba yake ni 5% na kuna mikopo ya biashara nyingine zote ambazo riba yake ni negotiable kuanzia 8% hadi 15%
Mzuzu
how is the progress of your cassava project, umechota TIB au?
ile inapata FDI ila stage II ambayo ntafanya expansion tumeshaweka makubaliano ntapata hapo by next year. Sijaanza huo nashughulikia land acquisition ndugu yangu ni process ambayo sikuijua mwanzo bt imechukua 2yrs kasoro sasa but natarget kuanza Feb ujenzi na farms. Huenda ntakuwa nimemaliza na kupata lease
Wana dirisha maalum la kilimo ambalo linatumia pesa ya ruzuku ya serikali na riba yake ni 5% na kuna mikopo ya biashara nyingine zote ambazo riba yake ni negotiable kuanzia 8% hadi 15%
all the best
Thanks ila mazingira ya uwekezaji hapa kwetu bado sana mkuu, maneno mengi sn kwenye majukwaa lakini support ni ndogo sana na urasimu ni mkubwa mno ndugu yangu, kupata hati ya ardhi sio kitu cha mchezo na kinahitaji commitment kubwa sn na devotion..
mkuu
tatizo kubwa kwa mikopo hapa tz ni kwenye kundi la start up, yaani mabenki hayana program kwa hili kundi kabisa, wao wanaangalia wliyekua anategeneza pesa tuu
Amini usiamini, hii ya kupewa kwa mkupuo kwa wengi ni mbaya sana, kwani unavyoona we unaweza kurudufu pesa yako hadi utakapokufa si wote wenye uwezo na upeo huo. Hata kama watapewa mafunzo ni sawa na shule wanaokuja kufauulu ni mmoja au kushindwa wote. Mataifa yaliyoendelea yanatoa mafao hayo kwa utaratibu wa kupewa kila mwezi na hii hadi kifo kitakapomchukua, hii inamhakikishia kupata kila mwezi au kila baada ya miezi miwili.
Pato lake hilo ni msaada pia kupata mkopo kama anataka kuanzisha biashara kwa kuwa ni income ya uhakika ambayo itampa dhamana bank kupata mkopo wenye riba nafuu. Kumbuka mataifa makubwa wamefanya utafiti wa miaka mingi na wameishia kuwalipa kwa mzwei badala ya kwa mkupuo ktuokana na wengi kuishia kuwa homeless.
Whichi is very wrong, kwani watapataje watu wenye biashara zinazotegeneza pesa kama hawatachukua initiatives kuangalia potential business ideas??
Babu DC!!
Exim wanatoa mikopo ya biashara kwa riba ya 19%. Unaweza kuchukua zote au kwa overdraft!!
Barclays bank wanatoa mikopo ya kati na mikubwa tu (>50mil). Interest yao ni 25%.
Mzuzu
how is the progress of your cassava project, umechota TIB au?
that's best ideal, am also researching in this project, my target is biofuel industry in next 10 years as you know 1 hectare of cassava produces around 5900kg of ethanol while sugar cane produces around 4000-5000kg.
Equity bank ya wakenya nasikia inatoa mikopo pasipo na magumashi na interest zao zipo chini sana. Kwasasa wameshafungua matawi tz dar, mwanza, arusha. All the best
Equity bank ya wakenya nasikia inatoa mikopo pasipo na magumashi na interest zao zipo chini sana. Kwasasa wameshafungua matawi tz dar, mwanza, arusha. All the best