peri
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 2,579
- 1,164
nenda pbz islamic branch pale mtaa wa lumumba.
Hawatoi cash ila wanakukopesha vifaa.
Unachagua kifaa dukani au sehemu yoyote then unawaletea invc wanakulipia.
Interest yao ni ndogo sana, asilimia 14 kwa mwaka na wanakupa up to 5 yrs za kulipa mkopo.
Mfn mtu mwenye net salary ya 500000 wanaweza kukukopesha up to 14m ukalipia kwa miaka 5.
Kwa kifupi mkopo kupitia islamic banking yoyote iwe amana, kcb, pbz au nbc ni nafuu maradufu ya mabenki mengine yote.
Wadau wengine wanaweza kufafanua zaidi.