Habarini wana jamvi
kwa anayejua ni benki ipi inayotoa mkopo
kwa riba nafuu. Kwa anayefahamu please
mnisaidie
mi nimuajiriwa gvt
nenda pbz islamic branch pale mtaa wa lumumba.
Hawatoi cash ila wanakukopesha vifaa.
Unachagua kifaa dukani au sehemu yoyote then unawaletea invc wanakulipia.
Interest yao ni ndogo sana, asilimia 14 kwa mwaka na wanakupa up to 5 yrs za kulipa mkopo.
Mfn mtu mwenye net salary ya 500000 wanaweza kukukopesha up to 14m ukalipia kwa miaka 5.
Kwa kifupi mkopo kupitia islamic banking yoyote iwe amana, kcb, pbz au nbc ni nafuu maradufu ya mabenki mengine yote.
Wadau wengine wanaweza kufafanua zaidi.

Access sio sehemu ya kumshauli mtu akachukue mkopo . mkopo unapata isipokuwa niwasumbufu sana na pia wafanyakazi wao rushwa mbele;collateral unayo???
bank ya posta wana riba nafuu only 18%
tatizo inabidi uwe na akaunti kwao na ipite miezi miwili
access wanakupa mkopo fasta, hawahitaji ufungue akaunti na ikae miezi, ila tatizo wana riba kubwa
Mkuu vipi kwa wasio waislamu wanaweza kupata huo mkopo??
mi naulizia benk ya amana ipo wapi nasikia hy ndo haina riba hata sh kumi ya kiislamu
FNB ipo poa.
Hiyo bank ya waislam kama nataka kununua basi kwa ajili ya daladala wananinulia? na faida ndio tunagawana sio au? wadau kama mpo!
tatizo unakuta mtu anataka akope pesa akafanye mambo mengine, biashara ya pembeni au dili la ghafla, hii ya kumnunulia mtu vifaa inambana mkopaji.
umegusia hapa net ya mshahara, mfano mtu anataka akope amlipie mtoto ada au amalize ujenzi. bado hii mikopo ya islamic bank inabana sana, haitoi uhuru wa pesa anayokopeshwa mkopaji.
basi watakununulia, hamgawani faida ila ukishachagua basi wanakulipia then watakuuzia tena kwa faida kidogo ambayo utakuwa unalipia kidogo kidogo kwa muda mlokubaliana, up to 5 yrs.
amana bank ipo barabara/mtaa wa ohio, jengo jipya pembeni ya ppf tower.mi naulizia benk ya amana ipo wapi nasikia hy ndo haina riba hata sh kumi ya kiislamu
hapana mkuu, kwa sasa wanafanya hivyo coz ndo wanaanza, wanatoa badhi tu ya huduma, kadri muda unavyosonga wanazidi kuongeza huduma coz wateja wanazidi kuongezeka.