kabisa kabisa 🙂 Amtoe yeye mwenyewe kama alivyokuwa anafanya Lyatonga MremaSasa yeye si ndio mwenye Chama na hawezi kuacha kikaharibika? Anamshinikiza nani Sasa si amtoe tu yeye mwenyewe
kwa mujibu wa kanuni, sheria na katiba ya chadema, kibaraka wa mabenyenye ya Magharibi ataenguliwa hatua za mwanzo kabisaa uchaguzi wa chadema taifa 🐒Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.
John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
Huyu Mbowe hii sacos itamfia kifo cha mbwa ambae amegogwa barabarani.Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.
John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
Nimeipenda hii clip. Busara kwisha!!Mbowe anakataliwa na WanaCHADEMA Tanzania nzima.
View: https://youtu.be/FYiaufRgxvw?si=vWhhCoQw-d5dYKlF#Mbowe must GO!
Kwa hiyo lisu ndiyo atuzuia watu wasiuwawe?Watu wanauwawa yeye anaendekeza RUSHWA.
Watu wamechoka kuambiwa "kunja ngumi kamanda" wakati yeye anaogelea kwenye Asali ambayo ni RUSHWA.Nimeipenda hii clip. Busara kwisha!!